Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

Siyo kashindikana yaani hana cha kupoteza, na Ukraine wao walikosea sana kuungana na matapeli NATO. Bora wangekaa wakayamaliza bila hawa wahuni ambao wanaishia kuogopa hata kupeleka wanajeshi
Kwa nini aogope kwa ukraine kujiunga na NATO?yeye Russia si ni mkubwa,amuache mwenzake aamue kujiunga na yeyote
 
Kwa nini aogope kwa ukraine kujiunga na NATO?yeye Russia si ni mkubwa,amuache mwenzake aamue kujiunga na yeyote
hata kuamua kutokujiunga pia kunaonesha ukubwa wa RUSSIA ukubwa sio kukubali tuuuu
 
Kwa sasa Puttin anaishi kwa mashaka kuliko ilivyokuwa kabla hajaivamia Ukraine.

Hofu ya vikwazo na madhara yake bila kusahau hofu ya nini kinaweza kufanyika kulipiza kisasa iwe ni leo, kesho au keshokutwa.
Hujamjua putin vizur kumbe.. huyo ni komando.. ni mwanajeshi halaf jasus.. akili yake akishakula bangi zake haelew kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa Puttin anaishi kwa mashaka kuliko ilivyokuwa kabla hajaivamia Ukraine.

Hofu ya vikwazo na madhara yake bila kusahau hofu ya nini kinaweza kufanyika kulipiza kisasa iwe ni leo, kesho au keshokutwa.
Russia ilipofikia vikwazo wakiweka nae anaweka vikwazo.. kaisha jenga mfumo imara wa kuiangusha USA
 
Hahaah. Umeona wanajijambisha wwnyew tu. Hahahaha.. janja janja sana hawa wazungu wa west

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii dunia si ya leo.. mwanadamu amekua wiped dunian zaid ya mara 1000.. so hata sis tutakua wiped n the cycle itaendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jalamba lao linaishia nje ya eneo la kuchezea mpira. Wajiingize Ukrain watajua Putin hatanii. Marekani NATO wana taarifa zaidi ya miezi minne kuwa Putin atavamia Ukrain lakini wameufyata.

Wanajua fika hana mpango na hizo nchi zingine wanajitutumua tu hao Nato kuondoa stress za wananchi
 
Ikapita siku saba kwenye huu mzozo bila urusi kutikiswa na yeyote miongoni mwa nchi za Ulaya ama Marekani... Basi itadhihirika kwamba Urusi hana Mbabe wake
Na baada ya sekeseke hili marekan atajiskia vibaya sana na aibu maana itaonekana kuna kiranja mpya wa dunia... Yeye marekan keshafanya sana mambo kama haya... In these 30 yrs marekan kasambaratisha mataifa zaid ya ma 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…