JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Nature imetengeneza nuclear weapons na kuwaelekeza NATO na Russia waweke mazingira ya kuzitumia halafu wewe ushabikie?Unaambiwa ukweli unaleta ujinga , nature ndio iko hivyo believe or not
Sasa tumeanza kupangiana hadi namna ya kushiba?Umeshiba si kosa lako ni tumbo limezidiwa.
Fact yangu ndo hiyo. Kashiba, tumbo limezidiwa.Sasa tumeanza kupangiana hadi namna ya kushiba?
Mtu katoa hoja, kama haujakubaliana nayo njoo ma fact zako.
Basi acha ashibe.Fact yangu ndo hiyo. Kashiba, tumbo limezidiwa.
Atajua mwenyewe huko kwake. Wengine ngoja wawaambie viongozi wa dini kila mtu kwa imani yake waiombee dunia iepukane na vita ya 3 maisha yaendelee.Basi acha ashibe.
Hivi nani kawaambia kuna vita vya tatu vya dunia?Atajua mwenyewe huko kwake. Wengine ngoja wawaambie viongozi wa dini kila mtu kwa imani yake waiombee dunia iepukane na vita ya 3 maisha yaendelee.
Hakuna mhemko wowote. Hapa nipo naangalia na kufuatilia huu mzozo siku ya pili sasa kama sehemu ya mm kupumzika na majukumu, ikitokea tu puttin akagusa nchi member wa NATO basi dunia ipo kwenye hatari ya vita kubwa.Hivi nani kawaambia kuna vita vya tatu vya dunia?
Unajua waafrika hasa watz mnatakiwa mpunguze mihemuko kwenye vitu msivyovijua, hii aina ya machafuko ni kaiwaida kabisa na mara nyingi yamekuwa yakifanywa na USA, sijui tu nini kinawafanya mjambejambe kwenye haka ka- issue.
Halafu inaonekana hujui mambo ambayo yanaweza kutriger w/war ndo maana unadhani ni kujambajamba kwa waafrika.Hivi nani kawaambia kuna vita vya tatu vya dunia?
Unajua waafrika hasa watz mnatakiwa mpunguze mihemuko kwenye vitu msivyovijua, hii aina ya machafuko ni kaiwaida kabisa na mara nyingi yamekuwa yakifanywa na USA, sijui tu nini kinawafanya mjambejambe kwenye haka ka- issue.
Umeandika, kwa ushabiki mkubwa sana. Mnampa USA huwezo ambao hana na ndio maana hata akidindiwa na wanaume kama North korea na iran huwa hamkubali mnabaki kushupaza shingo tuThis is something most people don't understand
If USA step in it will be a total catastrophic disaster
Kwann
Possession of high advance technologies kama vile stealth bomber plane hizi ni ndege za kivita zenye uwezo wa kuinvade sehemu yyte bila kuonekana Kwa macho only quantum radars can detect them na n nch mbili tu ulimwenguni wenye technologies hiyo na sio hayo tu US has so many surprise that the world knows nothing about!
Je mnakumbuka mkasa wa Snowden,, in information technology US ilikua Ina uwezo wa kutambua taarifa zote za yanayoendelea kwa phone call,sms,emails na taarifa nyeti za ulimwenguni za mtu mmoja mmoja ,,,je mnadhani hiyo data base Kwa Sasa Haina uwezo wa kufatilia mikakati ya nnchi ya Russia Kwa Sasa???
Nuclear wars (hapa ndipo penye kisanga)
Embu tujikumbushe kidogo mjapan alipovamia pearl harbour n nn kilitokea je Kuna yyte ulimwenguni alieweza jua n nn kitawapata Hiroshima na gasaki???
Hapa tusimame pamoja ndugu zangu we are talking about nuclear wars sio vta kama ya 1, ya Dunia 40million people lost their life na ilipoganwa Kwa tanks , missile na risasi tu vipi vta ya 2 ambayo more than 50+ million people lost their life
Here we are talking about nuclear wars ,,wars that can destroy cities in a brink of an eye unadhani n wangap watapoteza maisha tusiwe washabiki na vibendera nje ya uwanja kushabikia vta Kwa kuonyesha nani yupo offside wakat mech hatuiwezi na tupo nje ya uwanja ,,,
Economic sanctions ni htr sana Kwa Russia japo Kwa Sasa wanaona hawawez athirika but trust me history has its way of proving itself ,,,kwenye masuala ya uchumi hapa najua wengi hamtanielewa lkn economic sanctions it's more than a war itself,,,hi inamaana gani Incase Russia decided to fight against nato and ikzdwa what will it means??? Kwa mwenye akili anaweza kutafakari na kuelewa
Let us all pray for peace
The world needs peace
We Tanzanian needs peace ✊✊
Anaadhibiwa kwasababu amekubali kutumiwa na alipoambiwa akashupaza shingoSasa mbona anayepigwa ni ukrain kama usa ndo aliyeleta chokochoko?
Ila aliyemtumia yupo huko kwake haguswi.1
Anaadhibiwa kwasababu amekubali kutumiwa na alipoambiwa akashupaza shingo
Russia hawezi kugusa nchi zinazounda NATO kwakua hakuwahi kuwa na hilo lengo, Putin ameingia Ukraine kulinda maslahi yake na ameonya hataki kuingiliwa na mtu yoyote, kwahiyo kama ni swala ww3 litakuja kama hao NATO watataka kuingiliw yasiyowahusu.Halafu inaonekana hujui mambo ambayo yanaweza kutriger w/war ndo maana unadhani ni kujambajamba kwa waafrika.
Embu pekua pekua ww2 ilisababishwa na nini.
NATO ni kama CCM tuNATO wanajijua makosa yao ndiyo maana wanajihami. Nchi 5 ambazo zilijiunga NATO zipo nje ya makubaliano na Russia iliyovunjika, hivyo wanaogopa kwa sababu walikiuka makubaliano wanaona kabisa Russia atazitwanga any time soon akimalizana na Ukraine. Kwa ufupi NATO ni maongo makubwa sana na ni matapeli mno.
Russia hawezi kugusa nchi zinazounda NATO kwakua hakuwahi kuwa na hilo lengo, Putin ameingia Ukraine kulinda maslahi yake na ameonya hataki kuingiliwa na mtu yoyote, kwahiyo kama ni swala ww3 litakuja kama hao NATO watataka kuingiliw yasiyowahusu.
Ukipunguza mihemuko na umarekani mwingi utaelewa ni kwanini hii vita haiwezi kulete ww3 kama waafrika wengi mnavyodhani.
Na ndiomaana Putin amewataka waafrika mmalize kwanza tatizo lenu la njaa kabla hamjaanza kumfundisha namna ya kudeal na international disputes, ni kwasababu hamjui kitu.
Ukraine haiko ndani ya Nato,wacha Russia aguze moja ya hizo nchi na Nato zilizopakana na Russia,ndio katanuka NATO ni moto ya kuotea mbali ata Putin anajua!NATO wanajijua makosa yao ndiyo maana wanajihami. Nchi 5 ambazo zilijiunga NATO zipo nje ya makubaliano na Russia iliyovunjika, hivyo wanaogopa kwa sababu walikiuka makubaliano wanaona kabisa Russia atazitwanga any time soon akimalizana na Ukraine. Kwa ufupi NATO ni maongo makubwa sana na ni matapeli mno.
Endeleeni kujifarijiKwa sasa Puttin anaishi kwa mashaka kuliko ilivyokuwa kabla hajaivamia Ukraine.
Hofu ya vikwazo na madhara yake bila kusahau hofu ya nini kinaweza kufanyika kulipiza kisasa iwe ni leo, kesho au keshokutwa.
Childish mind.Kwa nini aogope kwa ukraine kujiunga na NATO?yeye Russia si ni mkubwa,amuache mwenzake aamue kujiunga na yeyote
Ndo kusema watuchukua tena Berlin...mi nadhani kuna ukweli unafichwaJUST IN - German Defense Minister Lambrecht fears #Putin is no longer afraid of attacking NATO partners.
Lambrecht: "He is not predictable at all right now."