Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikwazo kwa nchi kama Russia? Labda hauko serious. Ile sio Zimbabwe acha kudanganywa.Kwa sasa Puttin anaishi kwa mashaka kuliko ilivyokuwa kabla hajaivamia Ukraine.
Hofu ya vikwazo na madhara yake bila kusahau hofu ya nini kinaweza kufanyika kulipiza kisasa iwe ni leo, kesho au keshokutwa.
Kwa nini aogope kwa ukraine kujiunga na NATO?yeye Russia si ni mkubwa,amuache mwenzake aamue kujiunga na yeyote
Mwenye akili ataelewa hii strategy inayotumika hapa.
NATO na USA ndo nini? Ni entity mbili tofauti au?Hivi mmeshawahi kufikiria Nato na USA wakiingia kuihami Ukraine nini kitatokea..
Wanachofanya Nato na USA ni kutumia busara ili wasiiingize dunia kwenye shida, kwenye hili nawapongeza...
Hittler alivyovamia Austria, Polanda na France, watu walitumia busara hivihivi lakini baadaye alivyonogewa na matendo yake na kuivamia Russia ndio Dunia ikaingia vitani...
Madhara ya USA na NATO kuingia vitani kwa sasa mapema ni makubwa kwa dunia kuliko watu wengi wanavyofikiria humu, Hili hata Putin anajua ndio maana amevamia ukraine.
Huyo popoma haelewi hata alichokileta hapa[emoji1]The activation of the response troops does not mean that any US or NATO troops will go into Ukraine, which is not a member. US President Joe Biden has been clear that US troops are deploying to eastern Europe to help bolster NATO countries nervous about Russia's aggressive actions, and they will not be fighting in Ukraine
Nimesoma hadi hapo nikaishia hapo
Hakuna mhemko wowote. Hapa nipo naangalia na kufuatilia huu mzozo siku ya pili sasa kama sehemu ya mm kupumzika na majukumu, ikitokea tu puttin akagusa nchi member wa NATO basi dunia ipo kwenye hatari ya vita kubwa.
Tayari ujerumani na nchi za ulaya zinajiimarisha mipakani iwapo puttin ataamua kuunga.
sasa kuhusu maombi si mihemko bali ni imani tu kuwa MUNGU afanye wepesi dunia isifike huko.
View attachment 2131367
Ukraine haiko ndani ya Nato,wacha Russia aguze moja ya hizo nchi na Nato zilizopakana na Russia,ndio katanuka NATO ni moto ya kuotea mbali ata Putin anajua!
Wairani nakua upande wao ni mandezi tuu wameuawa Wataalamu wawili kwenye ardhi yao na majasusi ya Israeli hakuna kitu wale...kuna kipindi walijifanya kuzuia meli za UK zisipite pale kilichotokea mpaka kesho hakuna usumbufu tena kama wasomali wateka meli...Umeandika, kwa ushabiki mkubwa sana. Mnampa USA huwezo ambao hana na ndio maana hata akidindiwa na wanaume kama North korea na iran huwa hamkubali mnabaki kushupaza shingo tu
Trump mwenyewe alisaluti kwa irani baada ya kuishusha drone ambayo waliiaminisha dunia kwamba hiyo drone haiwezi kuonekana na rada yohote ile kumbe wairani walikuwa wanawachora tu toka wanaanza kuirusha kutokea Omani
NATO na USA ndo nini? Ni entity mbili tofauti au?
Manake mi nijuavyo, NATO inajumuisha USA pia.
Sasa utasemaje NATO na USA?
Ukishasema NATO maana yake tayari USA imo.
Unaweza kweli kusema EAC na Tanzania au EAC na Kenya?
Nchi za magharibi sio kwamba hawawezi kupigana wanajua madhara ya vita ni makibwa sana kwa vizazi na vizazi ndio maana wanaamini katika kutatua matatizo yao kwa majadiliano Soviet union iliwahi vamia huko Hungary miaka ya 1956 kilichotokea Warusi hawaji kuwavamia tena wale jamaa imekua ni heshima kwa pande zote mbili..Aliwaambia hata wakati anachukua oshetia kuwa yupo tayari hata kijeshi kupigana na NATO wakakimbilia vikwazo. Usiichukulie kirahisi Urusi
Hao waoga tu mbona USA alikuwa anashambulia Syria na Russia akapeleka jeshi kumsaidia Assad yy anashindwa nn kumsaidiaUkraine haiko ndani ya Nato,wacha Russia aguze moja ya hizo nchi na Nato zilizopakana na Russia,ndio katanuka NATO ni moto ya kuotea mbali ata Putin anajua!
aachiwe nini tena MKUU jama yupo KIEV[emoji848][emoji848][emoji848]Hata hao wanajeshi wengi volunteers lazima watakuwa NATO. Ngoja tuone. Naamini Russia hawezi kuachiwa kama alivyoachiwa Crimea.
NATO hawawezi kupigana VITA ya SILAHA na RUSSIAThis is something most people don't understand
If USA step in it will be a total catastrophic disaster
Kwann
Possession of high advance technologies kama vile stealth bomber plane hizi ni ndege za kivita zenye uwezo wa kuinvade sehemu yyte bila kuonekana Kwa macho only quantum radars can detect them na n nch mbili tu ulimwenguni wenye technologies hiyo na sio hayo tu US has so many surprise that the world knows nothing about!
Je mnakumbuka mkasa wa Snowden,, in information technology US ilikua Ina uwezo wa kutambua taarifa zote za yanayoendelea kwa phone call,sms,emails na taarifa nyeti za ulimwenguni za mtu mmoja mmoja ,,,je mnadhani hiyo data base Kwa Sasa Haina uwezo wa kufatilia mikakati ya nnchi ya Russia Kwa Sasa???
Nuclear wars (hapa ndipo penye kisanga)
Embu tujikumbushe kidogo mjapan alipovamia pearl harbour n nn kilitokea je Kuna yyte ulimwenguni alieweza jua n nn kitawapata Hiroshima na gasaki???
Hapa tusimame pamoja ndugu zangu we are talking about nuclear wars sio vta kama ya 1, ya Dunia 40million people lost their life na ilipoganwa Kwa tanks , missile na risasi tu vipi vta ya 2 ambayo more than 50+ million people lost their life
Here we are talking about nuclear wars ,,wars that can destroy cities in a brink of an eye unadhani n wangap watapoteza maisha tusiwe washabiki na vibendera nje ya uwanja kushabikia vta Kwa kuonyesha nani yupo offside wakat mech hatuiwezi na tupo nje ya uwanja ,,,
Economic sanctions ni htr sana Kwa Russia japo Kwa Sasa wanaona hawawez athirika but trust me history has its way of proving itself ,,,kwenye masuala ya uchumi hapa najua wengi hamtanielewa lkn economic sanctions it's more than a war itself,,,hi inamaana gani Incase Russia decided to fight against nato and ikzdwa what will it means??? Kwa mwenye akili anaweza kutafakari na kuelewa
Let us all pray for peace
The world needs peace
We Tanzanian needs peace [emoji110][emoji110]
hawana busara washenzi wangekua na busara hata hii vita inayoendelea isingetokea kabisaaHivi mmeshawahi kufikiria Nato na USA wakiingia kuihami Ukraine nini kitatokea..
Wanachofanya Nato na USA ni kutumia busara ili wasiiingize dunia kwenye shida, kwenye hili nawapongeza...
Hittler alivyovamia Austria, Polanda na France, watu walitumia busara hivihivi lakini baadaye alivyonogewa na matendo yake na kuivamia Russia ndio Dunia ikaingia vitani...
Madhara ya USA na NATO kuingia vitani kwa sasa mapema ni makubwa kwa dunia kuliko watu wengi wanavyofikiria humu, Hili hata Putin anajua ndio maana amevamia ukraine.
Wewe kwa akili yako unadhan Putin ni mjinga sana na hakufikiria hayo yote?Kama wewe umewaza hayo unadhan Putin hakufikiria hayo kabla yako?Kwa sasa Puttin anaishi kwa mashaka kuliko ilivyokuwa kabla hajaivamia Ukraine.
Hofu ya vikwazo na madhara yake bila kusahau hofu ya nini kinaweza kufanyika kulipiza kisasa iwe ni leo, kesho au keshokutwa.
Do some research,,,sjaandika Kwa ushabiki na mm sio shabiki wa vta ata mara moja au shabiki wa marekani naongea fact ,,unadhani bomu la nuclear lililopigwa hiloshima na gasaki miaka mingi iliyopita Kuna mtu yyte alikua anafahamu kua marekani ana kitu kama hicho??? Wote walidharau miaka hyo na ndo mana mjapan akafanya frst step kumvamia marekani (pearl harbour attack) ,,it was a total surprise hyo n miaka mingi iliyopita je unadhani marekani siku zote hizo amekaa Kwa kutulia na Hana zaidi silaha ya nuclear ambayo ni maradufu zaid ya hyo iliyowai tokea miaka mingi iliyopita na kuacha vilio mpk Sasa,,,Umeandika, kwa ushabiki mkubwa sana. Mnampa USA huwezo ambao hana na ndio maana hata akidindiwa na wanaume kama North korea na iran huwa hamkubali mnabaki kushupaza shingo tu
Trump mwenyewe alisaluti kwa irani baada ya kuishusha drone ambayo waliiaminisha dunia kwamba hiyo drone haiwezi kuonekana na rada yohote ile kumbe wairani walikuwa wanawachora tu toka wanaanza kuirusha kutokea Omani
Usiseme hivo ndugu yangu lolote linaweza kutokea mpk Sasa NATO has deployed armiesNATO hawawezi kupigana VITA ya SILAHA na RUSSIA
wajidanganye tu kwavikwazo no more
Kama ambavyo mutanzania hana uhuru kamili, dunia haijawai kua fairKwa nini aogope kwa ukraine kujiunga na NATO?yeye Russia si ni mkubwa,amuache mwenzake aamue kujiunga na yeyote