Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

Wamekubali kuisaidia Ukraine kwa kuipelekea Silaha za kumsaidia kujihami (Air defense missiles).
Na tayari Jeshi la Russia linaanza kupata Upinzani mkali.
 
Hivi mmeshawahi kufikiria Nato na USA wakiingia kuihami Ukraine nini kitatokea..

Wanachofanya Nato na USA ni kutumia busara ili wasiiingize dunia kwenye shida, kwenye hili nawapongeza...

Hittler alivyovamia Austria, Polanda na France, watu walitumia busara hivihivi lakini baadaye alivyonogewa na matendo yake na kuivamia Russia ndio Dunia ikaingia vitani...

Madhara ya USA na NATO kuingia vitani kwa sasa mapema ni makubwa kwa dunia kuliko watu wengi wanavyofikiria humu, Hili hata Putin anajua ndio maana amevamia ukraine.
 
Kwa sasa Puttin anaishi kwa mashaka kuliko ilivyokuwa kabla hajaivamia Ukraine.

Hofu ya vikwazo na madhara yake bila kusahau hofu ya nini kinaweza kufanyika kulipiza kisasa iwe ni leo, kesho au keshokutwa.
Vikwazo kwa nchi kama Russia? Labda hauko serious. Ile sio Zimbabwe acha kudanganywa.
 
Mwenye akili ataelewa hii strategy inayotumika hapa.

Hawasemi lakini lazıma NATO na wamarekani wako ndani ya UKRAINE; hawawezi kuwaachia hawa wakachinjwa na Putin!! Kesho utasikia Jinsi warusi walivyochinjwa!!!
 
NATO na USA ndo nini? Ni entity mbili tofauti au?

Manake mi nijuavyo, NATO inajumuisha USA pia.

Sasa utasemaje NATO na USA?

Ukishasema NATO maana yake tayari USA imo.

Unaweza kweli kusema EAC na Tanzania au EAC na Kenya?
 
Huyo popoma haelewi hata alichokileta hapa[emoji1]
 

Inaonekana Bado hujawa mjuvi wa mambo
 
Ukraine haiko ndani ya Nato,wacha Russia aguze moja ya hizo nchi na Nato zilizopakana na Russia,ndio katanuka NATO ni moto ya kuotea mbali ata Putin anajua!

Aliwaambia hata wakati anachukua oshetia kuwa yupo tayari hata kijeshi kupigana na NATO wakakimbilia vikwazo. Usiichukulie kirahisi Urusi
 
Wairani nakua upande wao ni mandezi tuu wameuawa Wataalamu wawili kwenye ardhi yao na majasusi ya Israeli hakuna kitu wale...kuna kipindi walijifanya kuzuia meli za UK zisipite pale kilichotokea mpaka kesho hakuna usumbufu tena kama wasomali wateka meli...
 
NATO na USA ndo nini? Ni entity mbili tofauti au?

Manake mi nijuavyo, NATO inajumuisha USA pia.

Sasa utasemaje NATO na USA?

Ukishasema NATO maana yake tayari USA imo.

Unaweza kweli kusema EAC na Tanzania au EAC na Kenya?

thanks nimekuelewa... nimeiweka USA pembeni kama special case, maana ndio baba yao.
 
Aliwaambia hata wakati anachukua oshetia kuwa yupo tayari hata kijeshi kupigana na NATO wakakimbilia vikwazo. Usiichukulie kirahisi Urusi
Nchi za magharibi sio kwamba hawawezi kupigana wanajua madhara ya vita ni makibwa sana kwa vizazi na vizazi ndio maana wanaamini katika kutatua matatizo yao kwa majadiliano Soviet union iliwahi vamia huko Hungary miaka ya 1956 kilichotokea Warusi hawaji kuwavamia tena wale jamaa imekua ni heshima kwa pande zote mbili..
 
Ukraine haiko ndani ya Nato,wacha Russia aguze moja ya hizo nchi na Nato zilizopakana na Russia,ndio katanuka NATO ni moto ya kuotea mbali ata Putin anajua!
Hao waoga tu mbona USA alikuwa anashambulia Syria na Russia akapeleka jeshi kumsaidia Assad yy anashindwa nn kumsaidia
 
Hata hao wanajeshi wengi volunteers lazima watakuwa NATO. Ngoja tuone. Naamini Russia hawezi kuachiwa kama alivyoachiwa Crimea.
aachiwe nini tena MKUU jama yupo KIEV[emoji848][emoji848][emoji848]
 
NATO hawawezi kupigana VITA ya SILAHA na RUSSIA
wajidanganye tu kwavikwazo no more
 
hawana busara washenzi wangekua na busara hata hii vita inayoendelea isingetokea kabisaa
walishupaza shingo acha waonyeshwe kama PUTIN sio GADAFI
hakuna NATO atakae ingilia huu mgogoro naakiingilia watapigwa tu
 
Kwa sasa Puttin anaishi kwa mashaka kuliko ilivyokuwa kabla hajaivamia Ukraine.

Hofu ya vikwazo na madhara yake bila kusahau hofu ya nini kinaweza kufanyika kulipiza kisasa iwe ni leo, kesho au keshokutwa.
Wewe kwa akili yako unadhan Putin ni mjinga sana na hakufikiria hayo yote?Kama wewe umewaza hayo unadhan Putin hakufikiria hayo kabla yako?
 
Do some research,,,sjaandika Kwa ushabiki na mm sio shabiki wa vta ata mara moja au shabiki wa marekani naongea fact ,,unadhani bomu la nuclear lililopigwa hiloshima na gasaki miaka mingi iliyopita Kuna mtu yyte alikua anafahamu kua marekani ana kitu kama hicho??? Wote walidharau miaka hyo na ndo mana mjapan akafanya frst step kumvamia marekani (pearl harbour attack) ,,it was a total surprise hyo n miaka mingi iliyopita je unadhani marekani siku zote hizo amekaa Kwa kutulia na Hana zaidi silaha ya nuclear ambayo ni maradufu zaid ya hyo iliyowai tokea miaka mingi iliyopita na kuacha vilio mpk Sasa,,,
VP kuhusu supersonic jets??? Jeulize maswali mengi na kufikilia mambo kiundan kabla ujapinga Hoja Fulani sina Nia mbaya lengo ni kuwajuza tu watu kwamba sku zote nchi zilizoendelea ktk technology znakua na surprise msizoztarajia sjui mambo ya Iran na Korea ???? Umewai jiuliza kwann marekani haiwez kutumia silaha nzito ktk hizo nchi n kwasababu ni threat Kwa innocent people wa hizo nnchi ni threat Kwa Dunia nzma pia n threat Kwa uchumi wao wenyewe,,the world will stand against them,,,mm n mtu wa kufanya research kabla sjapinga jambo I put my logics behind my emotions sshabikii vita ata mara Moja
Let's pray for peace and keep safe the world we have for it belongs to our children ,wife's , parents and our very coming generation ,,,,

hapa hii vta ikienda mbali it will be nuclear war and not just a war you know ya kutumia ballist missiles, riffles, grenades hpn Aiko Ivo ,, ukimya wa marekani n jambo zuri kwa Dunia nzma sababu n kiongoz mpumbavu tu anaweza ruhusu vta kama hyo nadhan unanielewa point yangu

Ndugu yangu tujifunze Kwa historia tusidharau mambo Kwa kusikia maneno na kuridhika na hbr tulizonazo,,,I repeat history has its best way of proving itself
 
NATO hawawezi kupigana VITA ya SILAHA na RUSSIA
wajidanganye tu kwavikwazo no more
Usiseme hivo ndugu yangu lolote linaweza kutokea mpk Sasa NATO has deployed armies

Kikubwa tuwaombee amani ndugu zetu pia tujifunze Ili tusijefanya makosa baadae
Maana mentality ya viongoz tunaowachagua ndo yaweza sababisha hatr zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…