Mzozo wa Yanga SC na ENDA Tour: Yanga yatakiwa kulipa milioni 200 au kupelekwa FIFA

Ismail Aden Rage alikuwa sahihi kuhusu Umbumbumbu wa hawa makolo

Jambo wala hali make sense hata kidogo
Huu mjadala umeuzidi uwezo wako wa kiakili, tafadhali nenda kwenye nyuzi za hoyahoya ulizozoea ukachangie....
 
Kampuni inatambulika na FIFA kwa mujibu wa jemedari,sasa kama sio sehemu ya industry FIFA ina itambua ya nini? ndio maana nikakwambia sio kila ambacho hujakiona hakipo
Hiyo kampuni inahusika na nn?

Imesajiliwa na FIFA kwa kifungu gani?

Kazi yake ni nini?

Huko CAS kulishawahi kutokea kesi inayohusu Kambi au hii ya Yanga ndio ya kwanza?
 
Hiyo kampuni inahusika na nn?

Imesajiliwa na FIFA kwa kifungu gani?

Kazi yake ni nini?

Huko CAS kulishawahi kutokea kesi inayohusu Kambi au hii ya Yanga ndio ya kwanza?
Hii ina husika na kuandaa michezo ya mpira, gofu n.k, vile vile ina andaa kambi mbali
mbali kwa timu na watu wengine, huyu Endatour ana leseni ya FIFA kama AGENT wao (LICENSED MATCH AGENT) , hawezi kuandaa mambo ya kimichezo kinyemela hii kampuni kubwa ( tembelea endatour.com)
 

Attachments

  • 1657875827534.jpeg
    7 KB · Views: 5
Jemedari Said sijui ana nini na Yanga! Ndiyo huyu huyu kwa chuki zake binafsi alisababisha Metacha Mnata kuachwa na Yanga msimu uliopita, baada ya kumjaza upepo na hivyo kumtoa mchezoni!

Ana nini huyu jamaa na timu ya wananchi?
Mimi si shabiki wa Yanga, lakini baada ya kugundua upuuzi wa Jemadari Said kwamba si Mchambuzi ni Mwanaharakati wa timu, sihangaiki tena kutafuta ameandika nini.
 
Lakini swala la kuahirishwa kwa pre-season yenu Turkey ni la ukweli au uongo? Sasa wewe badala ya kujadili alichoreport Jemedari, wewe unaanza kum-attack personally.

[emoji23]
Wala sijamu attack personally! Anatakiwa ku declare interest kama ana kinyongo na Yanga, au la!
Hayo masuala ya Yanga kuahirisha kambi au kulipa faini alitakiwa kama mwandishi wa habari, kwenda kusikiliza pia upande wa pili wa Yanga, ndipo angekuja na habari kamili.

Kwa kitendo chake cha kuleta taarifa ya upande mmoja, haina tofauti na umbeya na ukanjanja kwenye tasnia ya habari! Mimi siyo mwandishi wa habari. Ila sikubaliani na taarifa za aina hii kutoka kwa mtu anayetambulika kama mwana habari.
 
Hiyo kampuni inahusika na nn?

Imesajiliwa na FIFA kwa kifungu gani?

Kazi yake ni nini?

Huko CAS kulishawahi kutokea kesi inayohusu Kambi au hii ya Yanga ndio ya kwanza?
Ngoja wenye mioyo ya kuelekeza waje wakufafanulie, ni rahisi sana kumuelewesha(fundisha) mwanafunzi wa form 4 kuliko yule wa chekechekea.
 
Lakini mbona sijawahi kusikia mkitaka Priva au Kitenge wa-declear interest zao juu ya Yanga Sc?
 
Basi tufanye yanga inaenda uturuki au USA
 
Lakini swala la kuahirishwa kwa pre-season yenu Turkey ni la ukweli au uongo? Sasa wewe badala ya kujadili alichoreport Jemedari, wewe unaanza kum-attack personally.

[emoji23]
Huyo ni wa kumpuuza kashawehukwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata hajui hilo yeye, msameheni tyuuh
 
Senzo hawawezi kuwa mjinga kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…