ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wapi alisema? leta ushahidiUmemkuza sana mkuu huku ukijua huyu jamaa ndiye aliyetudanganya kwamba kesi ya morisoni cas lazima tushinde.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hahaha...Huyo ni wa kumpuuza kashawehukwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha...
Kwani alichoripoti ni uongo? Aziz kaleta mateso UtopoloniJemedari Said tunaelewa maumivu yake makubwa juu ya hii Yanga ya Moto
Aya sawaKwani alichoripoti ni uongo? Aziz kaleta mateso Utopoloni