Mzozo wazuka upya kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Shashi nalley

Senior Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
136
Reaction score
111
Trans boundary resource, mfano mto Nile, mountain Kilimanjaro, lake Tanganyika, lake Malawi or ziwa Nyasa, nyakati nyingi zimekuwa chanzo cha mafarakano kati ya taifa moja la jingine, trans boundary resource, kiuhalisia huwa haina mumiliki isipokuwa co _oparian member huwa ndio wamiliki wa eneo hilo, mfano Egypt sio mumiliki wa MTO Nile Bali sehemu ya resource ilipopita nchi husika hupewa hati or membership ya umiliki, kwa ziwa Nyasa au Malawi ,nalo ni mfano was trans boundary resource, hakuna mumiliki mmoja ila membership ambao ni Tanganyika Tanzania na mawali , wanaweza kuanzisha organization yao kisheria kwa madhumuni mbali mbali, mfano kuendeleza zana ya amani miongoni mwao security, equal benefits among co _parian member mfano gesi na mafuta, research and conservation of lake Nyasa or Malawi, na nyingine nyingi, .But tukiamua kufuata siasa za magaribi, wadau, Commonwealth, mkoloni , history, sijui nani mwenye jina la ziwa , sijui nani anajeshi kubwa la kumshinda mwenzake hatufiki, .Hebu tujikubushe mgogoro wa Tanzania na Egypt juu ya matumizi ya MTO Nile,
Mwisho trans boundary resource is a kind of resources cross from one boundary to another, na nikama case study ambazo mwenyezi MUNGU hutoa kuwapima maja waka, hivyo basi hekima na upendo kati ya Malawi na Tanzania inahitajika, amen
 
Ungejuwa ni kiasi gani Watanzania wamekuwa wavumilivu juu ya swala hili wala usinge andika kama ulivyo andika. Cha ajabu Malawi wana kimbia huku na kule juu ya swala hili, wanashindwa kupeleka kesi mahakamani ya kimataifa ICJ, kwasababu wanajua hawato shinda. Na utauliza kwanini Tanzania wasiende mahakani kumaliza swala. Tanzania ilishaamua hili swala halitaki hasira, imekuwa our policy since 1961 kwamba swala hili liishe kindugu na kirafiki. Hatuna uhasama na Malawi. Lakini kwa sheria ya kimataifa, nchi zilizo pakana kwa mto, mlima, ziwa nk ...lazima nchi hizo mbili zigawane kati kawa kati.
 
Hawa jamaa wanaham Makamanda w2 wawatwange kisawasawa ili 2walipe tu hzo ni choko choko za taifa maskin na lenye uroho ma waendelee mana huyu Si Jakaya mana aliwaachilia had wenzetu walikuwa wanawapiga kule mpakan ss huyu Presidaa wa ss nadhan atawanyoosha haswaa.....
 
Hivyo ndivyo mimi nilimjibu kaka mmoja hapa toka Tanzania kuhusianan na swala la migingo. Kwamba kwanini Kenya isitume Askari wakivita wapige mtu, lakini, ukifanya hesabu unaona haina haja ya sifa na kupata hasara ya fedha kulipa kwa vita kama hivi, Kama Tanzania sasa, hamuewezi kwenda kwa vita kwa swala kama hili! Sasa hapa nadhani Geza Ulole ameelewa ni kwa nini Kenya haikupigana na Uganda kuhusu migingo!
 
But m7 deployed soldiers out there, remember?
 
Yes he did! Kenya knew what he was looking for, causing trouble, Kenya can't involve itself in anything that is loss making at the end! Some countries always want to see Kenya looking like them but we are above such silly politics! We went to Somalia because we know how important it is! But Migingo? You must know that Kenya always have many ways of dealing with different situations sio Kukurupuka tu!! You weigh and tackle
 
Don't talk anymore about Mt.Kilimanjaro unless unataka kichapo cha mbwa mwizi[emoji123] jw[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji118]
 
Heheee.... Hamtawezana na wamachinga huko mwanza... utawezana na lipi lingine???
 
Shashi nalley tunashukuru kwa bandiko lako, siku nyingine andika kwa Kiingereza tu, Kiswahili chako kinaondoa hata ladha ya kusoma bandiko lako.
 
Heheee.... Hamtawezana na wamachinga huko mwanza... utawezana na lipi lingine???
we jw sio kazi yao kuhusu machinga wale ni vijana wa kazi, ila kdf wanajifanya wababe kwa innocent people but when come to alshabab their are very good in [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yes he did! Kenya knew what he was looking for, causing trouble, Kenya can't involve itself in anything that is loss making at the end! Some countries always want to see Kenya looking like them but we are above such silly politics! We went to Somalia because we know how important it is! But Migingo? You must know that Kenya always have many ways of dealing with different situations sio Kukurupuka tu!! You weigh and tackle
wanjala, r u trying to convince all of us here that for Kenya Government, deploying soldiers to Somali Land was pretty more important than Migingo??..
 
Nyie kiherehere cha kumchokonoa ID Amin na kuingiza nchi kwenye vita kimewafanya mpo maskini hadi leo, mnalipia gharama hadi watoto wa leo. Vita sio lelemama, usianzishe ovyo, hususan vita baina ya nchi. Kule Somalia hatupigani na nchi ya Somalia bali tumeenda kupambana na magaidi na kwa ushirikiano wa jeshi la Somalia.

Migingo ni muhimu kwetu, lakini tayari kuna mambo yanafanyika kidiplomasia, hatuwezi kukurupuka na kuanza vita ovyo.
 
we jw sio kazi yao kuhusu machinga wale ni vijana wa kazi, ila kdf wanajifanya wababe kwa innocent people but when come to alshabab their are very good in [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Heheee
 
Nyie kiherehere cha kumchokonoa ID Amin na kuingiza nchi kwenye vita kimewafanya mpo maskini hadi leo, mnalipia gharama hadi watoto wa leo. Vita sio lelemama, usianzishe ovyo, hususan vita baina ya nchi. Kule Somalia hatupigani na nchi ya Somalia bali tumeenda kupambana na magaidi na kwa ushirikiano wa jeshi la Somalia.

Migingo ni muhimu kwetu, lakini tayari kuna mambo yanafanyika kidiplomasia, hatuwezi kukurupuka na kuanza vita ovyo.
Hivi kenya wako vitani au KDF wameenda kuuza mkaa ??? [emoji3] [emoji3]
 
. Unataka lipi? Yeyote inayokufurahisha take it as it is... Now you are satisfied?
Unge jibu swali ningekuelewa, lakini utajibu vipi wakati na wewe ni mmoja wao??
 
Heheee... Nenda kajidanganye huko manzense bwana.There is absolutely new from you people.
 
Back
Top Bottom