Mzumbe dons in PhD scam


Waberoya:

Matatizo tuliyonayo ni kuwa watu wana-model mfumo wa elimu kupitia experience yao ya maisha.

Ukiangalia mfumo mzima wa elimu wa Tanzania ume-model maisha ya Baba wa Taifa.
 
Hizi univesity mbona zimegeuka sophist school! twalipa 1m darasani wakaa 1000 viti hakuna wanafunzi kuningínia madirishani kama wanatizama maonyesho ya mazingaombwe.

Hivi vyuo havina tofauti na school za akina Protagoras Predicus na Hippias. Zao fedha tu. Hawa maprofesa wa kudown load kwenye google ndo tunalipa ada ya 1m kwa knowledge gani wanayopata watoto wetu!

Tizama hawa wa kitivo cha sheria kutwa nzima wako mahakamani wakiwatetea mafisadi na maharamia hata soni hawana. wako na makoti meusi wakisikia haramia liko lupango wameshawasha escudo zao kulifuata.

Ipo siku tutawachapa mboko tu.
 
Education system ya tanzania ni ya imla. Madhara yake ndio tuna incubate watoto ambao wana high craming capacity, lakini when it come to innovation and research ni balaa tuuu.

Ukweli ni kwamba PhD holder wengi kwenye hizi new universities wamezipata kijanja janja. Ndio maana kuona publications zilizofanywa na watanzania ni dadra kama vile kumuona kaka kuona.

Na kila watu wanapogisia kufanya revamp ya education system, argument zinakuwa kubwa. Ukweli ni kwamba elimu yetu ni ya kikoloni, and it was structured kusave wakoloni needs, sasa tunakwenda kwenye new era so eventual it will collapse in the future. You either like or dont.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…