Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
according to nacte,mzumbe university tayar wametoa majina ila hawajatoa link yoyote mpaka sasa
Tupieni link sasa tuwaangalizie vijana wetu.
Tumaini dar hawajatundika yao!?😱
jaman naomben mniangalizie mtu huyu huko mzumbe no s0341/0156/2011 jina ni rehema moyo.
jaman naomben mniangalizie mtu huyu huko mzumbe no s0341/0156/2011 jina ni rehema moyo.
subiri kwanza waweke link.
Tupieni link sasa tuwaangalizie vijana wetu.
i have a feeling watu neno link mmelisikia kipindi hiki au mnalotumia bila kulielewa vizuri....kuna umuhimu gani wa link wakati unaweza enda straight kwenye web ya chuo husika na ukapata unachokitaka...
Wakiweka Niangalizieni S0589/0065/2011 BHSM jina sendi matiti
Ulipata div ngapi maana maana wamechukua kwny BHSM mwisho div2 point9.
Wakiweka Niangalizieni S0589/0065/2011 BHSM jina sendi matiti