Mzumbe,UDSM&UDOM kipi bora

Mzumbe,UDSM&UDOM kipi bora

Naomba kuuliza wadau ,hivi wahadhir wanalipwa kiasi gain cha salary?hasa wenye PhD.
 
yani wewe unalinganisha lijibaba udsm na huto tuviduchu mzumbe,udom sijui saut ambavyo ni vyuo vikuu vya kata!
we mgeni e?
user-offline.png
ufumawicha

3rd May 2014 21:11
#20
MemberArray

Join Date : 16th March 2014
Posts : 33
Rep Power : 314
Likes Received4
Likes Given0

[h=2]
icon1.png
Re: Mzumbe,UDSM&UDOM kipi bora[/h]
yani wewe unalinganisha lijibaba udsm na huto tuviduchu mzumbe,udom sijui saut ambavyo ni vyuo vikuu vya kata!​

Kapate heshima Sua. Unataka soma nini
sikuhizi heshima sio kusoma uds,mzumbe,sua,kibaha,feza boys ..MI NIMEPITA MAOFISI MENGI SANA SERIKALINI NA BINAFSI.HAKUNA TOFAUTI YA WALIOSOMA CBE NA UDSM AMBAO WAPO LEVEL MOJA.KAZINI NI COMPETENCY NA ACCOUNTABILITY TU NA WATU WANAKULA PESA AMBAZO UKIANGALIA ACCOUNTI ZAO UTAZIMIA NA WAMESOMA VYUO WANAVYOVIZARAU WATU KAMA WEWE UNAVYOONA HAVINA HESHIMA...
 
yani wewe unalinganisha lijibaba udsm na huto tuviduchu mzumbe,udom sijui saut ambavyo ni vyuo vikuu vya kata!

yan ww jamaa bure kabixa, kwa kuzarau vyuo vngne utafikiri hyo udsm utazikwa nayo au ukisoma ud ndio utapewa tuzo ya degre bora duniani,na degree yco ya ud usha gundua nn? Kama sio kusoma mawazo ya wanaume/wanawake wenzio tu.
 
kipi kitakuwa vizuri? nataka nfanye masters degree.[/QUOTE Nakushauri Ujitambue. Nakumbuka kabla sijajiunga Chuo kikuu niliamini kama sikusoma UDSM nisingefanikiwa katika maisha. Nimesoma SUA na niko Vizuri saaana. Kama Uko kazini tayari Mwajiri anatambua Cheti kutoka chuo kinachotambuliwa na TCU. lakini Pia elewa kuna vyuo kama OUT is very strong and ,reputable Baada ya kuwa nimeingia katika system ya \\\\ajira za serikali, nimeona kuwa wakubwa kama CEO,DED,Managers etc,,. masters zao wengi hawajasoma katika vyuo hivyo tunavyodhani ukisoma ndio unapata nafasi kubwa. Kwahiyo amka katika hilo, Timiza malengo yako na usifuate jina la chuo.Chuo chochote hasa vya serikali ukifanya vizuri tunaamini we ni kichwa na unastahili rewards upon your oerformance.
 
thank you.
 
Una degree but unauliza swali la kitoto,yaan na degree yako hujui chuo gan kizur..
 
To me in tanzania there is only one university(UDSM),others are colleges
 
Huu upuuzi sijui utaisha lini...utakalia kuthaminisha vyuo wkt watoto toka vyuo vya private wanakula mashavu...waajiri wengi wanaangalia GPA kubwa...kitu ambacho ni vigum lupatikana ktk vyuo vya umma..so km ningeambiwa nichague chuo hivyo vyuo vyote hapo juu nisingechagua. Bora niende TEKU,SAUT etc
 
ud ni noma n old iz gold privatr gpa ni home made so ud heshma shut up
 
Back
Top Bottom