umesoma kozi gain kwanza??nko na GPA3.7 nko na maana yangu na nimesoma udsm pia ningependa mwenye Masters ya hiv vyuo ama anaifanya sasa anpe ushauri.
Naomba kuuliza wadau ,hivi wahadhir wanalipwa kiasi gain cha salary?hasa wenye PhD.
Kapate heshima Sua. Unataka soma nini
we mgeni e?yani wewe unalinganisha lijibaba udsm na huto tuviduchu mzumbe,udom sijui saut ambavyo ni vyuo vikuu vya kata!
sikuhizi heshima sio kusoma uds,mzumbe,sua,kibaha,feza boys ..MI NIMEPITA MAOFISI MENGI SANA SERIKALINI NA BINAFSI.HAKUNA TOFAUTI YA WALIOSOMA CBE NA UDSM AMBAO WAPO LEVEL MOJA.KAZINI NI COMPETENCY NA ACCOUNTABILITY TU NA WATU WANAKULA PESA AMBAZO UKIANGALIA ACCOUNTI ZAO UTAZIMIA NA WAMESOMA VYUO WANAVYOVIZARAU WATU KAMA WEWE UNAVYOONA HAVINA HESHIMA...Kapate heshima Sua. Unataka soma nini
kipi kitakuwa vizuri? nataka nfanye masters degree.
yani wewe unalinganisha lijibaba udsm na huto tuviduchu mzumbe,udom sijui saut ambavyo ni vyuo vikuu vya kata!
kipi kitakuwa vizuri? nataka nfanye masters degree.[/QUOTE Nakushauri Ujitambue. Nakumbuka kabla sijajiunga Chuo kikuu niliamini kama sikusoma UDSM nisingefanikiwa katika maisha. Nimesoma SUA na niko Vizuri saaana. Kama Uko kazini tayari Mwajiri anatambua Cheti kutoka chuo kinachotambuliwa na TCU. lakini Pia elewa kuna vyuo kama OUT is very strong and ,reputable Baada ya kuwa nimeingia katika system ya \\\\ajira za serikali, nimeona kuwa wakubwa kama CEO,DED,Managers etc,,. masters zao wengi hawajasoma katika vyuo hivyo tunavyodhani ukisoma ndio unapata nafasi kubwa. Kwahiyo amka katika hilo, Timiza malengo yako na usifuate jina la chuo.Chuo chochote hasa vya serikali ukifanya vizuri tunaamini we ni kichwa na unastahili rewards upon your oerformance.

thank you.
UDSM is home of intellectuals