mzumbe university and all universities

mzumbe university and all universities

Best Wishes to you all, in your UE. andika hivyo mkuu
 
Wadau NAKUTUNUKU ipo au imebadilishwa jina!...
 
mudbs mnyasenga lazma ashike vitambi ivo..
 
mitiani inaendelea hapa mzumbe.sema tunasikitika baadhi ya watu wamefukuzwaa chuoni kutokana na makosa waliyofanya bahati mbaya wengi wao mfano Act za law zimeandikwa maandishi ndani bila mtu kuiangalia vizuri ndani na facult of law wapo serious vibaya .yaani kwenye mtiani kuna mambo mengi,MUNGU atuepushe na majanga katika kipindi hiki cha mtiani
 
Back
Top Bottom