Mzumbe university,Dar es salam Business School

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,711
Kwa kweli jamani chuo kikuu,Dar cumpus ni chuo cha makanjanja,kinaendeshwa kienyeji
Wanafunzi wa masters toka tumemaliza coarse work mwaka jana july ndio sasa wametoa majina ya supervisors tuanze research,kwa kawaida mkimaliza coarse work mnaunganisha reseach ila kwa mzumbe mambo ni tofauti.

Tulioanza nao wa Udsm washa graduate huku sisi hatujui tunagraduate lini.

Ushauri wangu,vijana kama mnataka elim bora,msiombe kusoma mzumbe elim ya masters,hakuna kitu pale,wahadhiri wanapenda pesa,ukimpa pesa anakufanyia kila kitu.
 

Aiseee ...!!! Too much sasa, mzumbe kulikoni.
 
mbona mzumbe inaliliwa hivi?

ishakuwa ishu sasa!

cc.. mzumbe university.
 
kila chuo kinautaratibu wake ,kama hujaridhika ondoka.sisi wa bachelor mbona kuna kuwa na kitu inaitwa stagered mnafunga miezi mitano semister ya kwanza mwaka wa kwanza,ndio utaratibu wa chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…