monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,778
Mi naomba kuuliza,Mnakaribshwa wote kwa wale waliochaguwa Mzumbe kwa acourse mbalimbali Administration, Social science, bussines, economics na law. Karibuni Moro km20 from Moro mjini, friendly environment for studying. Ushauri tu atandaa nguvu ya kusoma, kunywa maji mengi. Karibu sana wanaokuja kusoma BAF. Mnapenda kujua nini kuhusu MU niulize
Welcome MU (Millitary University)
1.Kwanini umeiita Military Universty?
2.What is so pecial Hapo MU Ambacho/ambavyo sehemu nyingine hakuna?
nsubiria majibu...