Mzumbe university vyeti vyetu viko wapi?

mkuu unasubiria cheti wakati hakitambuliki popote duniani maana mzumbe chuo cha magumashi degree zake zinatia shaka
 
yani hamjapewa chochote???transcript wala certificate yenyewe???
 
Hawa. jamaa wanaboa sana na wanajibu watu kisiasa kuhusu vyeti. .Siku moja nilimpigia associate Dean of SOPAM kuhusu vyeti. akanijibu. unaniuliza vyeti kwani mi ndo chuo'' je hii inaashiria nini? kwa cc watu wa PA tunaweza kusema kwamba. this signifies poor accountability and coordination respectively
 
imenilazimu nichangie tuu kwasababu umetaka tuchangie.mm nasikitika kuona eti muhitimu wa chuo kikuu anakuja kudai cheti huku jf,kwani ulisoma huku ili upewe cheti???fuata taratibu za kupata cheti katika chuo chako,huku kamwe uwezipata majibu sahihi yakupata cheti,ndio maana mwenzangu kakujibu chuo cha mzumbe akitambuliki,naweza kusema elimu aijakusaidia ndio maana unashindwa kufanya mambo ya msingi uko kijijini kwenu eti kisa auna cheti,badilisha elimu uliyopata mzumbe iwe maarifa ili ikusaidie,maarifa ni zaidi ya cheti,watu wanaangamia kwakukosa maarifa sio elimu.
 
Nenda chuoni ufatilie usipende kupiga simu ata kwenye mambo nyeti kama hicho. All the best.
 
umesahau njia ya kwenda mzumbe.? graduate hujui utarabu wa kufuata hadi upate cheti? kwa hiyo wanajamvi wafanyeje? pathetif.
 
Duh . . . . . . Eti mwingine anasema degree za Mzumbe magumashi . . . . .aaaarrghhh . . . . Mzumbe ni nzito sana, waulize wanaosoma watakwambia, do not spike without appropriate authorities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…