imenilazimu nichangie tuu kwasababu umetaka tuchangie.mm nasikitika kuona eti muhitimu wa chuo kikuu anakuja kudai cheti huku jf,kwani ulisoma huku ili upewe cheti???fuata taratibu za kupata cheti katika chuo chako,huku kamwe uwezipata majibu sahihi yakupata cheti,ndio maana mwenzangu kakujibu chuo cha mzumbe akitambuliki,naweza kusema elimu aijakusaidia ndio maana unashindwa kufanya mambo ya msingi uko kijijini kwenu eti kisa auna cheti,badilisha elimu uliyopata mzumbe iwe maarifa ili ikusaidie,maarifa ni zaidi ya cheti,watu wanaangamia kwakukosa maarifa sio elimu.