Mzumbe University

Mzumbe University

tian

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2007
Posts
1,770
Reaction score
537
Wadau nimejaribu kusurf kwenye blog ya mzumbe university kucheki academic year yao Uzamili inaanza miezi ipi nimekosa kabisa.

Kama kuna mshika dau yeyote anijuze.
 
Wadau nimejaribu kusurf kwenye blog ya mzumbe university kucheki academic year yao Uzamili inaanza miezi ipi nimekosa kabisa.

Kama kuna mshika dau yeyote anijuze.
Uzamili ndio kitu gani mkuu?
 
Wadau nimejaribu kusurf kwenye blog ya mzumbe university kucheki academic year yao Uzamili inaanza miezi ipi nimekosa kabisa.

Kama kuna mshika dau yeyote anijuze.

ingawa sijasoma mzumbe,ila sijui kama wana blog,
na Uzamili ni shahada ya 2,ila wewe huelewek unazungumzia Uzamil kwa context ya hayo maelezo
 
ingawa sijasoma mzumbe,ila sijui kama wana blog,
na Uzamili ni shahada ya 2,ila wewe huelewek unazungumzia Uzamil kwa context ya hayo maelezo

Blog wanayo,

Nataka kujua academic year yao ya masters programme zinaanza mwezi gani??

Hapo mkuu umenisoma au bado??
 
We mtu hata kuandika hujui,then unataka kusoma masters??
 
bado kijana wanaanzaga mwezi huu wa pili,,endelea kupitia website yako tu,,,walehawana shida ila waandalie ada yao tu
 
Tanzanian's,Tanzanian's I pity my fellow citizens especially wale mnaclaim mko educated,

Instead of advising on important issues ambazo mtu ana inquire kutoka kwenu mnatoa majibu ya porojo,

At times mtu yuko serious but mtu unaamua au kwa makusudi au kwa kupenda,kujibu ambacho hujaulizwa,

Kama huna msaada ni bora uka kaa kimya sio kujibu tu imradi umejibu.

Kiukweli kwa maendeleo ya hii nchi we've got a long way to go.

Cc Perry unayejiita msomi kuliko watu wote
 
Wadau nimejaribu kusurf kwenye blog ya mzumbe university kucheki academic year yao Uzamili inaanza miezi ipi nimekosa kabisa.

Kama kuna mshika dau yeyote anijuze.

Unajua tofauti ya blog na website?
 
Unajua tofauti ya blog na website?

Kama umeona sijui kwanini usiweke tofauti yake hapa??

We mtu kakosea alafu anauliza nini tena??
Weka tofauti ndo nielewe sasa!!

Nyie wale mnaojiona kuwa ni much knows!!
 
Back
Top Bottom