Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzamili ndio kitu gani mkuu?Wadau nimejaribu kusurf kwenye blog ya mzumbe university kucheki academic year yao Uzamili inaanza miezi ipi nimekosa kabisa.
Kama kuna mshika dau yeyote anijuze.
Uzamili ndio kitu gani mkuu?
Nashukuru kwa kunielimisha manake misamiati imekuwa mingi siku hizi na wengine tulikimbia umande hatukuelimikaUzamili ndio kitu gani mkuu?[/QUOTE
Kwani Masters kwa kiswahili sio hivyo mkuu??
Wadau nimejaribu kusurf kwenye blog ya mzumbe university kucheki academic year yao Uzamili inaanza miezi ipi nimekosa kabisa.
Kama kuna mshika dau yeyote anijuze.
ingawa sijasoma mzumbe,ila sijui kama wana blog,
na Uzamili ni shahada ya 2,ila wewe huelewek unazungumzia Uzamil kwa context ya hayo maelezo
Aaahhh mie nkajua nishakuw mbulula tena khaaah!!
Blog wanayo,
Nataka kujua academic year yao ya masters programme zinaanza mwezi gani??
Hapo mkuu umenisoma au bado??
Wadau nimejaribu kusurf kwenye blog ya mzumbe university kucheki academic year yao Uzamili inaanza miezi ipi nimekosa kabisa.
Kama kuna mshika dau yeyote anijuze.