Mzumbe watema list ya undergraduates

Mzumbe watema list ya undergraduates

Lofefm

Senior Member
Joined
May 22, 2011
Posts
126
Reaction score
80
Nimeona pdf za mzumbe . Jamani sasa sua na ud ni lini?

are you sure!

kweli ndugu yangu. Kuna jamaa yangu nlimaliza naye mzumbe kajipatia. Ila nimeona kwa macho yangu

Acheni kudanganya wa2 nyie,hamna k2 ka hcho kwenye web ya mzumbe.

kweli ndugu yangu. Kuna jamaa yangu nlimaliza naye mzumbe kajipatia. Ila nimeona kwa macho yangu

ok but officially bado hawaja drop kwenye website yao.

Forum hii kwa sasa inatumiwa na vijana kuwadanganya wenzao kuhusu issue mbalimbali. Nashauri jukwaa hili libaki kwa great thinkers kujadili na kubadilishana mawazo ya kisomi na kiutu uzima kwa maendeleo ya jamii.

hapo umenena mkubwa, vijana wanatoa taarifa zisizo rasmi, source anasema rafiki yangu!!!

hapo umenena mkubwa, vijana wanatoa taarifa zisizo rasmi, source anasema rafiki yangu!!!

vijana wamechoka kukaa kitaa.

hbu mkipata taarifa zilizokamilika ndo mzilete hapa na sio umbea umbea tu wa mitaani sawa watoto

waambie hao maana wanataka kufananisha hii na ile ya vijana hata wenye miaka 7 nao wamo.We have to be perfect and been a perfect thinkers.

Seriously i'm a new member lkn kwenye hili jukwaa nimegundua kitu kimoja. Kuna watu wanaharibu hii forum kwa kutoa news ambazo huwezi dhani ndo HOME OF GREAT THINKERS. Please,we need PROVED FACTS na sio kudanganyana"

Back
Top Bottom