Ilishathibika kuwa walikuwa na degree feki . Je hili sio kosa kisheria? Mbona hazichukuliwi hatua na mamlaka zinazohusika?
Basi kuanzia sasa wasiitwa mdkt.ni aibu mtu kama nchimbi eti dk? mara kumi kamala ana uwezo kishule sio kilaza nchimbi -darasani ni hamna kitu kabisa.
Masaki,Naomba msaada jamani, inakuwaje vyuo vingine hata majina hatuvijui viko accredited wakati Mzumbe chuo kikubwa tena cha serikali bado kiko kwenye level ya Full Registration? Je uzembe wa viongozi wa chuo au ni kitu gani? Haingii akilini eti Chuo kinaitwa Stefani Moshi Memorial University kiko Moshi kiwe accredited, halafu Mzumbe bado.
Kuna chuo kilikuwa sekondari ya Mazengo zamani pale Dodoma, sasa hivi kinaitwa St. John's University nacho kiko accredited tayari. Mzumbe vipi? Ni tatizo la Mzumbe au TCU?
http://www.tcu.or.tz/universities.html
Kuna wakati vyuo vikuu vinamamlaka ya kumuaward mtu degree ya heshima,sikumbuki vizuri,(mnaweza kunirekebisha)nafikiri Kikwete alipata PHD ya heshima chuo kikuu cha Kenyatta,Kenya, hii ni baada ya kusuluhisha mgogoro wao wa kisiasa 2007,kwa hivyo tusimuunganishe muheshimiwa Rais kwenye hili sakata.

Dr Emmanuel Nchimbi ndivyo anavyoitwa. Kumbukumbu zangu hazionyeshi kuwa huyu jamaa aliyosoma degree inayomfanya awe addressed kama Dr kwa Bachelor (mfano Medical, Vet).
Kwa sasa huyu jamaa ndio anafanya PhD Mzumbe, alipojiregister 2009. Ina maana anasoma PhD ya pili au... and for what?!!