Mzumbe yasafisha PhD feki; Kamala na Nchimbi wajifua upya

Ccm wako kibao .sio ajabu hata kidogo maana wao ndio waanzilishi wa chakachua. wizi wizi hadi nyumbani waiba vijiko na sahani kama mateja . LOh
 
Waziri wa ulinzi wa ujerumani amejiuzuru kwa kuchakachua PhD za wengine na kuunda ya kwake. Hybrid. Alipogundulika akasema halina uhusiano na kazi yake ya u-waziri lakini akajiuzuru kwa kuamini kwamba hataweza kuaminika tena.

Hapa kwetu ndo kabisa! Rais aliyemteua anazidisha uaminifu kwa watu kama hawa. Rais wetu hata siku moja haoni tatizo labda umutukane, ndo atajenga kisasi cha maisha.

Watu wa aina hii bado anao wengi saaaana! Wengine kawapa madaraka makubwa.

Mkosi tulionao ni kizazi cha viongozi hawa. Kweli viongozi hawa akina Nchimbi wanaona umuhimu wa kusomesha watoto wao ili wapate vyeti halali wakati wao wana vyeti vya bandia na vinakubaliwa?
 

You can have as many as you would like as long as you defend them in front of a panel.There are people in this world with more than 2 PhDs.Maybe he is going for number two.I think there is no point of discussing this because for whatever reasons,yeye mwenyewe ndio anayejua ukweli.Kwanza PhD ni personal issue na kuwa kiongozi hakujalishi kama wewe ni PhD au diploma holder.
 


Alipewa U-dokta UDOM, kama Dr J.K
 

Tatizo siyo kwamba ili uwe kiongozi mzuri unahitaji kuwa na PhD.Tatizo ni kujifanya una PhD na kujiita Dr.wakati PhD yenyewe ni ya mazabe
 

CHEATING THAT YOU HAVE A Ph D WHILE YOU DONT ONE HAVE IS AN OFFENSE. THE REASON IS SIMPLY THAT YOU WILL ATTEMPT PROVIDING ASSISTANCE WHILE DETRIMENTAL. THIS IS A REASON WHY YOU HAVE FAKE DOCTORS BUSY KILLING PEOPLE, FAKE ENGINEERS HANDLING EXPLOSIVES AND KILL US, FAKE ECONOMISTS SELLINGS US CHEAPLY, FAKE POLICE KILLING US....FAKE TEACHERS PRODUCING MAJORITY OF DIVISION IV AN 0 .....FAKE ARCHITECTURES FALLING BUILDINGS....FAKE PRESIDENT WITH GPAS OF 2.6....ETC ETC THIS IS ONLY ACCEPTED IN TANZANIA NCHI YA MAPUMBAVU KAMA WEWE HOUSTA.
 
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Dr. Emmanuel
Middle Name:
John
Last Name:
Nchimbi
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Songea Mjini
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O.Box 1422, Dar es Salaam
Office Phone:
+255 754 003388
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth


EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
CommonWealth Open University
PhD (Management)
2001
2003
PHD
CommonWealth Open University
MSc. (Management)
1999
2001
MASTERS DEGREE
Mzumbe University
MBA (Finance & Banking)
2001
2003
MASTERS DEGREE
Institute of Development Management - Mzumbe
Advanced Diploma in Administration
1994
1997
ADV DIPLOMA
Forest Hill Secondary School
A-Level Education
1991
1993
HIGH SCHOOL
Sangu Secondary School
Secondary Education
1989
1990
SECONDARY
Uru Seminary
Secondary Education
1987
1989
SECONDARY
Oysterbay Primary School
Primary Education
1980
1986
PRIMARY


CERTIFICATIONS

 
Kama bosi wao anazo tatu...Dr Dr Dr JK,unashangaa nini hiyo moja ya Nchimbi..................................?
 
Mafisadi wa elimu ajabu ndio viongozi wa watanzania na vyeo kama uwaziri bado wanapesa.Hii ni Tanzania tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…