lweganwa b
Member
- Jul 11, 2012
- 11
- 0
wakuu mambo vp,wale wa mzumbe jamani pita hapa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu mambo vp,wale wa mzumbe jamani pita hapa..
hahahahaha umeniacha hoi kwa kichekowewe lazima utakuwa courz za mabinti(HRM, HSM,BBA-MARKETING,, RAM,LGM na nyinginezo) kwa hiyo jipange mdogo wangu utakutana na watu wanaokula applied statistics hawana mda na mambo haya ya net!!! kuna wapaka pouder wenzio wa-medisco ukiondoka kwenu usitangaze mtaani!!!!!:A S 465:
wewe lazima utakuwa courz za mabinti(HRM, HSM,BBA-MARKETING,, RAM,LGM na nyinginezo) kwa hiyo jipange mdogo wangu utakutana na watu wanaokula applied statistics hawana mda na mambo haya ya net!!! kuna wapaka pouder wenzio wa-medisco ukiondoka kwenu usitangaze mtaani!!!!!:A S 465:
sasa vipind vikiongezwa c wanafunzi weng watafeli maana mda wa kusoma utakuwa mchache!!
wewe lazima utakuwa courz za mabinti(HRM, HSM,BBA-MARKETING,, RAM,LGM na nyinginezo) kwa hiyo jipange mdogo wangu utakutana na watu wanaokula applied statistics hawana mda na mambo haya ya net!!! kuna wapaka pouder wenzio wa-medisco ukiondoka kwenu usitangaze mtaani!!!!!:A S 465:
nyie mnafungua kama tarehe 15 ya mwez wa kumi sisi tukiwa tuna likizo ya wiki moja kama sio wiki mbili!! tukirudi ndo wote tunaanza kusoma!!