mzumbe

mzumbe

Nyabisi

New Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
2
Reaction score
0
kwa wale waliopo mzumbe main campus please nisaidieni kwa hili ni lazima kwa mwaka wa kwanza kulala campus ya chuo au hata off campus ?
 
kawaida 1 year wote lazima walale ndani ya campus...ila kama kwenu mna hela za kutosha unaweza ukalala hata off -campus au hata mjini..suala lililopo hapa ni maamuzi yako wewe mwenyewe!! kwa mfano sisi watoto wa wakulima tunalala ndani ya campus kwa sababu accommodation ni bei rahisi!!
 
Back
Top Bottom