Mzungu amburuza Kortini Nabii Josephat Mwingira na Kimada wake

Mzungu amburuza Kortini Nabii Josephat Mwingira na Kimada wake

Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Posts
15,295
Reaction score
10,928
NABII Josephat Mwingira na mwanamke anayedaiwa kuzaa naye, Dk. Phils Morris Nyimbi wameburuzwa katika Mahakama Kuu, Kitengo cha Ardhi mjini Moshi wakidaiwa kuchukua shamba la ubia kati ya Mzungu Profesa Wade Sapp na Kampuni ya Global 2000 (2010) International.
Nabii Josephat Mwingira.
Kwa mujibu wa hati za mashitaka zilizopo katika mahakama hiyo (nakala yake tunayo), kampuni hiyo ipo Dallas/Fort Worth, Marekani na ina matawi yake nchini Peru, Ghana, Liberia, Sierra Leone, Kenya na Tanzania ambako imesajiliwa mwaka 2002.
Katika shauri hilo ambalo ni namba 24 la mwaka 2013, litatajwa Aprili 8, mwaka huu mjini Moshi mbele ya Jaji Ama-Isario Munisi, imedaiwa kuwa mlalamikiwa wa kwanza Dk.
Phils Morris Nyambi na mlalamikiwa wa pili, Nabii Josephat Mwingira ambaye ni kiongozi wa Kanisa la Efatha, wamechukua shamba la hekari 37 la kampuni hiyo lililopo Bomang'ombe, wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro bila ridhaa yao.
Profesa Wade Sapp (kulia) anayedaiwa kuwaburuza mahakamani, Nabii Mwingira na Dk. Phils Morris Nyimbi (kushoto).
Imedaiwa mahakamani hapo kuwa mzungu huyo, Profesa Wade Sapp ambaye ni mwanasayansi na mwekezaji kwa niaba ya kampuni hiyo alituma fedha ambazo ni dola za Kimarekani 30,000 Desemba 21, 2006 kwa mlalamikiwa wa kwanza na akalipa kwa mwenye shamba aitwaye Philimon Ngilisho Mushi shilingi 10,000,000 kama kianzio huku tukio hilo likirekodiwa kwenye video.
Hati ya mahakama iliyoandaliwa na Wakili Desidery Ndibalema wa Kampuni ya Bin Attorneys anayemuwakilisha mzungu na kampuni hiyo imesema kwamba Dk. Phils Machi 30, 2007 alilipa kiasi kilichobaki cha shilingi 20,000,000 kwa mwenye shamba baada ya kupewa na mzungu huyo.
Wakili Ndibalema ameeleza kuwa Januari 14, 2009 Dk. Phills bila kuwa na idhini ya Profesa Sapp au kampuni yao, alimpatia shamba hilo mlalamikiwa Nabii Mwingira ambaye anadaiwa kuzaa naye mtoto, kama zawadi (Gift Deed) ambapo aliipa kazi Kampuni ya Geo Land Consult Ltd kupima eneo hilo.
Hata hivyo, mlalamikaji tayari ametuma maombi kwa kamishna wa ardhi wa Moshi ili eneo hilo lipimwe kwa nia ya kujenga hospitali, ofisi ya mazingira na hoteli ya nyota tano ili kuwa kumbukumbu ya Dk.
Betty Sapp (alifia Moshi kwa ajali miaka ya nyuma), ambaye alikuwa mke wa Profesa Sapp anayetarajia kuja kutoa ushahidi wa kesi hiyo.
Mlalamikaji ameiomba mahakama itangaze kuwa Kampuni ya Global 2000 (2010) International na mzungu huyo kuwa ni wamiliki halali wa eneo hilo na kuwaamuru walalamikiwa kulipa gharama ya kesi hiyo na nyingine ambazo mahakama itaona inafaa.
Profesa Sapp alikuwa ni Rais wa Taasisi ya Wanasayansi ya Marekani na sasa amestaafu
 
Wakuu mnakumbuka Sakata la the so called Nabii Mwingira na huyu mama aliyezaa naye? Kesi ya kudai fidia kwa huyu mama na mzinzi wake ilifunguliwa na mumewe akidai fidia ya 7. billion 2013. Hawa ndiyo watumishi wa Mungu. Aisee inasikitisha sana. Nimeitoa Global Publishers!!! Na ndugu wa huyu mwanamke amenihakikishia kuwa ni kweli wamezaa mtoto!!!! Pia Mwingira anao watoto kibao na wanawake wengine ikiwemo mmoja ninayemfahamu na alimaliza darasa la 7 mwaka jana 2013!!!
 
Manabii wa uongo utawajua tu, kama si leo kesho.

Mkuu umeshahamia huku, yaani ninakupendaje sasa kwa issues za hawa makafiri!!! Ukweli ni kwamba hata mashekhe wanazaa nje ya ndoa zao halali!!! Cha msingi unafiki mwingi umejaa sana katika hizi taasisi zetu za dini!!! Mwingira ni tapeli la kimataifa.Halafu wale waumini wake sijui kawalogea Nigeria, hawasikii wala kuambiwa, tena wakisikia hii wataandamana wakimtetea.
 
Mkuu umeshahamia huku, yaani ninakupendaje sasa kwa issues za hawa makafiri!!! Ukweli ni kwamba hata mashekhe wanazaa nje ya ndoa zao halali!!! Cha msingi unafiki mwingi umejaa sana katika hizi taasisi zetu za dini!!! Mwingira ni tapeli la kimataifa.Halafu wale waumini wake sijui kawalogea Nigeria, hawasikii wala kuambiwa, tena wakisikia hii wataandamana wakimtetea.

Usimsahau na Pdri Slaa kazaa na mke wa mtu na anaishi nae, anaitwa Josefina na mpaka leo eti ni "mchumba".
 
Usimsahau na Pdri Slaa kazaa na mke wa mtu na anaishi nae, anaitwa Josefina na mpaka leo eti ni "mchumba".

Mkuu nilijua ni lazima umtaje tu. Si mchumba mkuu, walishafunga ndoa ya kimila nafikiri ilikuwa ni 2012 or early 2013 ila ni kipindi kile kile baada ya talaka ya Josephine. Si unajue mnamtumia Rose Kamili kumchafua Dr. Slaa?? Kwa taarifa tu ni kwamba wao walishayamaliza!!! Wengine wanaabaki kupiga mbiu tu. Hata kesi iliyoko mahakamani itaishia tu hivi hivi.
 
Usimsahau na Pdri Slaa kazaa na mke wa mtu na anaishi nae, anaitwa Josefina na mpaka leo eti ni "mchumba".
huyo aliyechukuliwa mke wake katulia wewe unaleta nye-ge zako hapa, nyinyi wanawake mnajidhalilisha wenyewe, yaani mwanamke mwenzio ameolewa na mtu butu halafu uantaka aendelee kukaa naye kama boya, hivi nyinyi ni akili kweli? kwani ndoa ni cheti au picha za harusi? Mwenyewe hata kesi ameshaikimbia ili asiumbuliwe zaidi sasa wewe unaleta zako hapa...unataka akuchukue wewe kikongwe?

 
Mh,hawa wachungaji na mashehe ubwabwa,weka mbali na watoto!
 
huyo aliyechukuliwa mke wake katulia wewe unaleta nye-ge zako hapa, nyinyi wanawake mnajidhalilisha wenyewe, yaani mwanamke mwenzio ameolewa na mtu butu halafu uantaka aendelee kukaa naye kama boya, hivi nyinyi ni akili kweli? kwani ndoa ni cheti au picha za harusi? Mwenyewe hata kesi ameshaikimbia ili asiumbuliwe zaidi sasa wewe unaleta zako hapa...unataka akuchukue wewe kikongwe?

Mwambie kabisa mkuu kuwa mume wa awali wa Josephine alimtelekeza na watoto akahamia kwa kimada na wala hakuwa na habari. CCM wakamfuata wakamhonga ili ajitokeze achafue hali ya hewa 2010!!! Akapigwa chini na talaka juu!!!! Sasa kwa kuwa haikuwa ni utashi wa yule mume ---- ni shinikizo tu basi na baada ya 2010 si unajionea mwenyewe!!! Bwana Mahimbo hovyo kabisa!! Chumia tumbo kama Zitto tu.
 
Mh,hawa wachungaji na mashehe ubwabwa,weka mbali na watoto!

Kabisa mkuu maana unaweza sikia amebaka sasa!!! Hivi ile kesi ya ustadhi wa Madrassa ya Keko DSM alimbaka mtoto wa Madrasa iliishia wapi? Yaani hakuna kuzuri hata kidogo, ni weka mbali na watoto tu kabisa hawa mabedhui.
 
huyo aliyechukuliwa mke wake katulia wewe unaleta nye-ge zako hapa, nyinyi wanawake mnajidhalilisha wenyewe, yaani mwanamke mwenzio ameolewa na mtu butu halafu uantaka aendelee kukaa naye kama boya, hivi nyinyi ni akili kweli? kwani ndoa ni cheti au picha za harusi? Mwenyewe hata kesi ameshaikimbia ili asiumbuliwe zaidi sasa wewe unaleta zako hapa...unataka akuchukue wewe kikongwe?


Padri na kuoa na Dokta wa Kanoni na mke wa mtu, wapi na wapi?

Kuna Mkatoliki ambae ndoa yake inakwisha?
 
Padri na kuoa na Dkta wa Kanoni na mke wa mtu, wapi na wapi?

Kuna mkristo ambae ndoa yake inakwisha?
soma biblia utajua maana ya talaka kwenye biblia, huwezi kuishi na mtu kama picha kisa ni mkristo tu, wee acha zako hizo
 
PICHAZ..AIBUU...MCHUNGAJI ANASWA AKICHEZEWA UTUPU NA WAUMINI WAKE WA KIKE WATATU...JIONEE MWENYEWE HAPA...


OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inaendelea! Wiki hii ilifanya kazi nyingine nzito, kumnasa Pastor John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar ambaye alinaswa akichezewa utupu na wanawake watatu ambao ni kama waumini wake kwa sababu wote ni Wakristo.



Pasta John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar baada ya kunaswa na wanawake watatu wakimchezea utupu.


OFM YATONYWA UCHAFU WA PASTOR
Ilikuwa Jumanne ya Aprili Mosi, 2014, saa 4:14 asubuhi, chanzo cha habari kilipiga simu chumba cha habari cha Global na kuwataka makachero wa OFM ambapo alipounganishwa nao alisema:

“Jamani kama kweli hapo ni OFM nina malalamiko. Mimi nimeshtukia mchezo mchafu unaotaka kufanywa na pastor (mchungaji) mmoja anaitwa Rubanguka.



Pasta John Paul Simon Rubanguka akijaribu kujitetea.


“Huyu pastor amempa dili dada mmoja kumtafutia wasichana wazuri watatu na kuwapeleka kwenye nyumba moja hivi kisha wawe wanamchezea utupu wake huku wao wakiwa kama walivyozaliwa, ndiyo furaha yake ilipo. Wasichana wameshapatikana.”

MSHIKO WA NGUVU NA SAFARI JUU
Mtoa habari huyo aliendelea kudai kuwa, pastor huyo alisema wasichana watakaokuwa wakichezea utupu atawafanyia usaili wa kwenda kuwauza kwenye kasino moja iliyopo Uarabuni ambayo yeye ni wakala wa kuwapelekea malaya huko.



Pastor akiwa na mmoja wa wanawake waliofumaniwa naye.


Chanzo hicho kiliendelea kudai kuwa, pastor huyo aliwaahidi wanawake hao kitita cha shilingi 300,000 kila mmoja kwa wale watakaofaulu kumchezea vizuri, sanjari na kuwakatia hati za kusafiria ‘passport’.




Makamanda wa OFM wakimtuliza Pasta.

OFM YAWEKA MTEGO
Baada ya kupata ishu nzima, OFM ilifanya ukachero na kugundua mahali ambapo tukio hilo lilipangwa kufanyika, ni kwenye danguro moja lililopo Kinondoni jijini Dar.



Wanawake-walionaswa-katika tukio hilowakivaa viwalo vyao.

OFM ilifika kwenye nyumba hiyo na kufanya ushushushu wake ambapo walifanikiwa kuweka mitambo yao sambamba na kulishirikisha jeshi la polisi kwa ajili ya kumnasa mtumishi huyo wa Mungu akifanya vitendo hivyo.

Saa 8:11 mchana, OFM wakiwa wamejibanza eneo hilo waliwashuhudia warembo watatu, weupe wakielekea kwenye nyumba ambayo mtoa habari wetu aliielekeza.-Kitambulisho cha Pasta.


PASTOR AWASILI KWA MBWEMBWE
Saa 11:23 jioni, OFM wakiwa hawajaanza hata kujisikia kuchoka, walimwona pastor huyo akiwasili kwa mbwembwe akiwa ndani ya gari dogo na kugeuza kwa staili ya kupiga ‘norinda’ kisha akashuka. Mkononi alishika maji makubwa. Alipokelewa na mmoja wa wanawake hao.Bango lililopo Kinondoni Mkwajuni, Dar likieleza lilipo kanisa la Pasta huyo.

MCHEZO WAANZA
Saa 11:40 jioni, makachero wa OFM walifanya uchunguzi wa kina na kubaini kuwa, tayari mchezo ulishaanza ambapo waliwataarifu polisi na kuungana nao kwenda kuvamia nyumba hiyo.
Msafara wa OFM na polisi hao ulifika nje ya chumba kilichokuwa kikidaiwa kufanyika uchafu huo. Sauti ya muziki na wanawake waliokuwa kama wapo kwenye darasa la siri zilisikika.
Polisi waligonga mlango na kujitambulisha kisha wakaomba wafunguliwe mlango haraka ndani ya sekunde chache.
PASTOR APATA MCHECHETO
Pasta John na wanawake hao walitii amri kwa kufungua mlango ambapo mchungaji huyo alikumbwa na mchecheto na kutaka kurukia juu ya dari lakini polisi walimtafadhalisha kutulia pamoja na wanawake hao kama walivyo.
OFM ikiwa chumbani humo iliwashuhudia wanawake hao wakiwa watupu mbele ya pastor huyo ambapo walikuwa wakimnengulia viuno.
Baada ya kupewa kibano, warembo hao walimwanika pastor huyo kwamba ndiye aliyewatuma wamchezee wakiwa watupu ili awalipe shilingi laki tatu kila mmoja, pia kuwapeleka Uarabuni kwenye kasino.
UTETEZI WA PASTOR
Kwa upande wake, Pastor John alijitetea kuwa anaomba asamehewe kwa gharama zozote ili taarifa hizo zisifike popote kwani ishu hiyo ilikuwa si amri yake bali shetani alimpitia.
“Jamani naomba tumalize humuhumu ndani, mnajua mimi ni Pastor wa Kanisa la Maximum Deliverance, sasa ukweli ni kwamba waumini wangu hawatanielewa, chondechonde ilindieni kazi yangu jamani,” alijitetea.
Mpaka OFM inaondoka eneo la tukio, pastor huyo na wanawake ‘wake’ walikuwa kwenye harakati za kupelekwa mbele ya vyombo vya sheria kwa ajili ya hatua zinazostahili.
KUTOKA MEZANI KWA MHARIRI
Siku zote kazi ya OFM ni kuwajibikia matendo maovu na si kuwaonea watu- kwa lengo la kuwachafua. OFM inapopata habari huichunguza ukweli wake kwanza kabla ya kuchukua hatua ya kuifanyia kazi moja kwa moja, yaani kufika kwenye eneo la tukio.-

Lengo kubwa la kutoa habari za aina hii ni kuwakumbusha watu namna ya kuishi maisha yanayompendeza- Mungu. Wengi wamebadilika, sasa wanaishi vizuri wakiwa watu wapya na wanyenyekevu pia wenye kufundisha wenzao.
 
Hizo dini zingine ni usanii usanii tu...kila mtu anafanya lake....
 
Back
Top Bottom