Mzungu anaipenda UGALI asema ataka kuila milele!!!!!

Mzungu anaipenda UGALI asema ataka kuila milele!!!!!

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
Justin Bradford


I Took Ugali to an American Thanksgiving Dinner | Kenyamerican


More kwa youtube channel yake
 
Sima na sukuma wiki ni chakula tu kama vyakula vingine
 
Angekula ile ya mtama ..ugali km uji angeipata shughuli toi. Sijui km angependa ugali[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Rais Uhuru Kenyatta afanye hima, hadi sasa hivi hatujajua waziri wa Ugali ndo atakuwa nani. Ugali forever!
 
Mbona mnapenda kushobokea wazungu sana? Wewe unakula spaghetti kila siku kuna mzungu alikushobokea kwa kula chakula cha Italians.?
 
Back
Top Bottom