Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Aisee, nimeshangaa kuomba kadi ya gharamaGutuka haraka sana ...unatengenezewa mchoro wa kupigwa
Hilo wala sio tatizo ungefikia mahali pa kulipia angekupiga stop na kukwambia alikuwa anakupima uaminifu wako...hivyo basi kwakuwa umeonesha uaminifu basi anakupa mchongo wa biashara yenye pesa ndefu huko ndio utapigwaAisee, nimeshangaa kuomba kadi ya gharama
Mitandaoni Kuna mamboHilo wala sio tatizo ungefikia mahali pa kulipia angekupiga stop na kukwambia alikuwa anakupima uaminifu wako...hivyo basi kwakuwa umeonesha uaminifu basi anakupa mchongo wa biashara yenye pesa ndefu huko ndio utapigwa
Kumbuka huyo si mzungu
Daah mzee wewe ni hacker nini??...Nicheck nikutumie link,
Akidhubutu
Akigusa hiyo link, utapata ipadress yake, device anayotumia etc
Hata kama anatumia vpn
DuuhhMatapeli wa mitandaoni, afu wanajifanyaga wazungu au wahindi...utaibiwa mkuu
Hivi nyie watu bado mpo? Hao ni scammers moja ya njia yao ni kuomba amazon gift cards, mbona mnatapeliwa kirahisi? Huyo huenda hata siyo mzungu ni akina Oga. Mzungu gani kamaamekupenda anakuomba zawadi na kukupangia aina ya zawadi ya kumtumia. Uwe unashirikisha akili yako.Wadau nimekutana na mzungu kwa njia ya mtandao. Anaishi Marekani. Sasa ananiomba nimtumie Amazon Gift card. Nime Google hii kadi sielewi vizuri. Pia naona kama ya kununua kwa dola.
Je, huyu mzungu anamaanisha nini kuomba kadi ya gharama? Msaada na ushauri wako muhimu.
Hivi nyie watu bado mpo? Hao ni scammers moja ya njia yao ni kuomba amazon gift cards, mbona mnatapeliwa kirahisi? Huyo huenda hata siyo mzungu ni akina Oga. Mzungu gani kamaamekupenda anakuomba zawadi na kukupangia aina ya zawadi ya kumtumia. Uwe unashirikisha akili yako.
Hapo sasa nitakuwa nimemtukaa maana mwnaume akianza shirikisha makalio huyu anakuwa siyo mwanaume tena.Sio makalio...!
Ngoja nishtuke mapema, unaweza kukata tiketi ya ndege kwenda Florida, kumbe dume linakuchora tu. Wewe unaamini nimepata mchumba mzungu.Kwahiyo we Wanaume wenzako unawaona Ni mademu wa kizungu ?