Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 609
[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Daah mzee wewe ni hacker nini??...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Daah mzee wewe ni hacker nini??...
mkuu nitumie hiyo linkUnatapeliwa
Unamtumia hiyoo giftcard ana exchange hiyo giftcard to bitcoins
Then Bitcoins to cash!!
Simple tuuu!!
Haina tofauti na kukuomba hela!!
So amekuomba hela indirect way!!
Huyo atakuwa mghana, mnigeria au mhindi!!
Nicheck nikutumie link,
Akidhubutu
Akigusa hiyo link, utapata ipadress yake, device anayotumia etc
Hata kama anatumia vpn
Nisingeombwa, mtandao unaitwa Evermatch, wazungu wa kutosha huko. Sijui picha za uongoNdio maana mimi sitaki kabisa kujifunza kingereza. Sema ukweli wako ungekuwa ujui kingereza ungeombwa hiyo zawadi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaNdio maana mimi sitaki kabisa kujifunza kingereza. Sema ukweli wako ungekuwa ujui kingereza ungeombwa hiyo zawadi?
Umeona heeeeeNisingeombwa, mtandao unaitwa Evermatch, wazungu wa kutosha huko. Sijui picha za uongo
Gutuka haraka sana ...unatengenezewa mchoro wa kupigwa
Wahuni hoa wa kinaigelia kuna kisa bhana cha mwaka Jana cha demu alikuwa ni msenegal na nini akadai kuwa yeye ni yatima yupo kambi ya walinzi wa usalama kutokana na machafuko ya nchini kwao nanini akadai baba ake amemwachia dola milioni 10 akadai kwa sheria ya kule hawawezi kutoka hiyo hela yote akaniomba nimtumie vitambulisho vyangu na ananipenda sana ili aonge na WAKILI wake afanye kitu kinachoitwa next of kin maana ake mwanasheria akadhibitishe mahakami kuruhu kutolewa hichi kiasi cha pesa kwahiyo nilichokuwa nataka kufanya nimtumie kama kiasi cha lakini 3 anitengeneze kadi na kutumiwa kupitia DHL ILI nizitoe zile hela .......
Wahindi pia wapo kwenye hili la scammersMatapeli wa mitandaoni, afu wanajifanyaga wazungu au wahindi...utaibiwa mkuu
Kwenye email sijui wanajuaje kuwa Huyu ni verify na active wanakuwa wamejipanga nilikutana nao hao scummers kama 4 Twitter na 4 kwenye email yangu nomaaumenifanya nicheke sana, ,ara nyingi mimi nakutana nao Katika FIFA PLATFORM YA KOZI MBALIMBALI...LAKINI CHA AJABU UKI SEARCH PROFILE YA HUYO MTU HAIPO! LAKINI AMEWEZA KUKUTUMIA PRIVATE TXT KUPITIA FORUM HIYO
Mtu yuko Marekani anakuomba wewe wa Tz? Unaamini?!Wadau nimekutana na mzungu kwa njia ya mtandao. Anaishi Marekani. Sasa ananiomba nimtumie Amazon Gift card. Nime Google hii kadi sielewi vizuri. Pia naona kama ya kununua kwa dola.
Je, huyu mzungu anamaanisha nini kuomba kadi ya gharama? Msaada na ushauri wako muhimu.
Hata Mimi nashangaaMtu yuko Marekani anakuomba wewe wa Tz? Unaamini?!
Mkuu tutumie hiyo link hapa tufaidike wote. Chonde chonde tunakuomba sana.Unatapeliwa
Unamtumia hiyoo giftcard ana exchange hiyo giftcard to bitcoins
Then Bitcoins to cash!!
Simple tuuu!!
Haina tofauti na kukuomba hela!!
So amekuomba hela indirect way!!
Huyo atakuwa mghana, mnigeria au mhindi!!
Nicheck nikutumie link,
Akidhubutu
Akigusa hiyo link, utapata ipadress yake, device anayotumia etc
Hata kama anatumia vpn
hahaha mwaka juzi kuna rafiki yangu alikutana na ishu kama hii. aliambiwa kuna mkutano wa vijana utafanyika ACRAA. lakini jamaa atume USD kwa ajili ya registrations na ujinga mwingii. akaambiwa nikija ACRAA tutakuwa wote mm ni wako. akapigwa vizuri kabisaGutuka haraka sana ...unatengenezewa mchoro wa kupigwa
Aisee!hahaha mwaka juzi kuna rafiki yangu alikutana na ishu kama hii. aliambiwa kuna mkutano wa vijana utafanyika ACRAA. lakini jamaa atume USD kwa ajili ya registrations na ujinga mwingii. akaambiwa nikija ACRAA tutakuwa wote mm ni wako. akapigwa vizuri kabisa
Mbaya zaidi anatengenezewa mchoro na msambaa yupo Hapo hapo Sinza KijiwenGutuka haraka sana ...unatengenezewa mchoro wa kupigwa
[emoji3][emoji2]Gutuka haraka sana ...unatengenezewa mchoro wa kupigwa