Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

Watanzania tuwe wakweli na wawazi. Tusidindishe online vs Wakenya as if kama ingetokea kwetu tungemfanya huyo Mzungu lolote lile. Mara ngapi mambo kama haya wanafanyiwa Watanzania wenzetu ndani ya Tanzania na Watanzania wengine wanaanza kumsapoti Mzungu/Mchina/Mwarabu/Mhindi na kumcheka Mtanzania mwenzetu? Kuna stori kama kibao kama hizi zinatokea Tanzania mfano katika hotel, migahawa, mabasi, majumbani, sokoni. Watanzania tuache unafiki.
 
Tofauti yako na mkenya ni ipi? Mkenya akiitwa monkey sio tusi la kusherehekea maana mkenya anawakilisha rangi la jamii ya watu weusi.
Hahahaha, jambo baya likitokea kwa wakenya, mnajaribu kulifanya liwe ni jambo la sisi wote, lakini Eliud Kipchoge ni Mkenya, katika mitandao ya kijamii neno lililozagaa ni " Proud Kenyans", kwanini hapa usiseme " Shame on Kenyans?
 
wakenya ni waafrica wakenya ni weusi kama wa uganda,tz,rwanda n,k
sasa hii vita si ya wakenya pekee ni kwa watu woote wapinga ubaguzi duniani
 
Watanzania tuwe wakweli na wawazi. Tusidindishe online vs Wakenya as if kama ingetokea kwetu tungemfanya huyo Mzungu lolote lile. Mara ngapi mambo kama haya wanafanyiwa Watanzania wenzetu ndani ya Tanzania na Watanzania wengine wanaanza kumsapoti Mzungu/Mchina/Mwarabu/Mhindi na kumcheka Mtanzania mwenzetu? Kuna stori kama kibao kama hizi zinatokea Tanzania mfano katika hotel, migahawa, mabasi, majumbani, sokoni. Watanzania tuache unafiki.
Anayeahikwa na ngozi ndiye mwizi wa Mbuzi.
 
Leta mifano dhahiri acha porojo
 
Tofauti yako na mkenya ni ipi? Mkenya akiitwa monkey sio tusi la kusherehekea maana mkenya anawakilisha rangi la jamii ya watu weusi.
Sisi watu weusi tunapinga hatupo kama kenya.nyie ni monkey,mabeberu wamewageuzia kibao.punguzeni mbwembwe mnawashobokea mno.Jiwe endelea kukaza tutazoea kujitegemea
 
Inasikitisha kuona waafrika wakishabikia huu ujinga.

Hata hivyo, hii ni habari ya wiki uliopita na FYI baada ya malalamiko ya waKenya mtandaoni na kwa ujumla, huyu mfanyikazi wa ICRC aliachishwa kazi na kua deported with immediate effect.
 
Tofauti yako na mkenya ni ipi? Mkenya akiitwa monkey sio tusi la kusherehekea maana mkenya anawakilisha rangi la jamii ya watu weusi.

Tofauti yangu na Mkenya ni kuwa mkeny ni Typical kibaraka wa mzungu, Mkenya huigiza maisha ya Uzungu Kenya ukizungumza Kiswahili kama wewe unaonekana hujasoma, Kenya ni nchi ya watu wanaolamba matako ya Wazungu. Hata katiba mpya ya Kenya imekuwa imported from US.
Sasa ikitokea mnatukanwa hivi na hao Mabwana zenu ndio tunashangaa inakuwaje,
 
Back
Top Bottom