Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Hatuna mtanzania kama wewe unatamaani kuwa mtanzania, eti mimi mtanzania unazani utanzania unaupata Kwa kusema tu ? Wewe utabaki kua[emoji205]tu mpaka uweke nida id labda ndio watu watakuelewaAfrican race ndio race pekee inayochukiana yenyewe kwa wenyewe.
Mimi ni mtanzania ila watanzania wezangu hivyo si sawa. Binadamu hatakiwi kuwa hivyo.