Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

Mimi sioni ajabu sisi kuitwa Nyani make katika mitaala yetu hadi leo tumefundishwa binadam wa kwanza alikuwa nyani.Sasa tukiitwa nyani tunarusha ngumi. Sisi nyani tu.
 
Kama kawa, wakenya wakiitwa nyani ndugu zao wa kusini (watanzania) wanafaa wajikumbushe kwamba wao ni nyani vilaza.
Kwa kweli sie wahindi tunawashangaa sana nyie miafrika. Mbona msiishi kwa upendo?
Muhindi nae si nyani mchafu tu
 
Nilikuwa nae mmoja mtaani.. Nyani kwelikweli. Mjuaji. Adalimii mpaka u msalimie mwisho anajifanya hajui kiswahili lkn mtoto wake anakimwaga Kiswahili kama njugu..
 
Si ni juzi tu audio ilivuja ya aliyekuwa Rais wa Marekani Ronald Reagan akiwaita delegates wa Tz nyani? Hilo lilikuwa tusi kwa watu wote weusi! Hili sio swala la ligi Mkuu. Ubaguzi wa rangi unafaa kukemewa.
Mtoto wake alishaomba msamaha,
Kinachoahangaza ni nyie kuwashobokea sana hao wazungu alafu mwisho wa siku bado wanawatukana nyie alafu mnataka kuingiza EA nzima,
Kwanini kwenye mambo mabaya ndo mtake kuingiza EA nzima 😂😂😂
 
Nitasimama kuhesabiwa Kwa kuitetea ngozi nyeusi we Nenda Tu ufunguliwe marinda na wazungu kama ilivyo ada kwako.unajichukia Hadi unadhihaki ngozi yako kisa mzungu?.
Sasa mbona ni nyie ndo mnafunguliwa marinda 😂😂😂 si ni juzi ndugu yenu kaolewa kule SA 😂😂😂,
Hilo ni lenu bebeni wenyewe kabisa halituhusu.
 
Mtoto wake alishaomba msamaha,
Kinachoahangaza ni nyie kuwashobokea sana hao wazungu alafu mwisho wa siku bado wanawatukana nyie alafu mnataka kuingiza EA nzima,
Kwanini kwenye mambo mabaya ndo mtake kuingiza EA nzima 😂😂😂
Mtoto wake kuomba msamaha halikuzuia lolote! The damage was already done. Babu zako delegates waliitwa Nyani kumaanisha wewe ni kizazi cha hao nyani pia!
Hili si la kuleta ushabiki kwani inaonyesha kwao mtu mweusi popote pale ni "nyani"
 
Watanzania tuwe wakweli na wawazi. Tusidindishe online vs Wakenya as if kama ingetokea kwetu tungemfanya huyo Mzungu lolote lile. Mara ngapi mambo kama haya wanafanyiwa Watanzania wenzetu ndani ya Tanzania na Watanzania wengine wanaanza kumsapoti Mzungu/Mchina/Mwarabu/Mhindi na kumcheka Mtanzania mwenzetu? Kuna stori kama kibao kama hizi zinatokea Tanzania mfano katika hotel, migahawa, mabasi, majumbani, sokoni. Watanzania tuache unafiki.

Kuna Hotel Waafrika hawaruhusiwi Zanzibar na Dar .Ni aibu Sana wengi hawajui.
 
Mtoto wake kuomba msamaha halikuzuia lolote! The damage was already done. Babu zako delegates waliitwa Nyani kumaanisha wewe ni kizazi cha hao nyani pia!
Hili si la kuleta ushabiki kwani inaonyesha kwao mtu mweusi popote pale ni "nyani"
We pimbi sasa tuambie ...tatizo ni kuitwa nyani au kuwa nyani

Nyinyi ni MANYANI MAPUMBAVU
 
Sasa mbona ni nyie ndo mnafunguliwa marinda [emoji23][emoji23][emoji23] si ni juzi ndugu yenu kaolewa kule SA [emoji23][emoji23][emoji23],
Hilo ni lenu bebeni wenyewe kabisa halituhusu.
90% ya wavulana wa kitanzania wanafunguliwa marinda ,Kwanza pale kinondoni ndio makao makuu.
 
Heri ndizi kuliko mohogo. Niko sure umekondeana kama ngamia wa Sahara desert. Mtu aliye na miaka hamsini na bado anaugua kwashiakor!
Kijana wa miaka 35 Kenya anaonekana kama mzee wa miaka60 maisha Kwa slum kibera ni ngumu sana
 
Si ni juzi tu audio ilivuja ya aliyekuwa Rais wa Marekani Ronald Reagan akiwaita delegates wa Tz nyani? Hilo lilikuwa tusi kwa watu wote weusi! Hili sio swala la ligi Mkuu. Ubaguzi wa rangi unafaa kukemewa.
Sasa nyinyi hadi masikini wa kichina mnao walipa mishahara wanawaiteni manyani tena manyani mapumbavuu
 
Tazama sababu ya sisi kuitwa monkey ni kumkataa mkoloni bali nyinyi mnaitwa monkey huku MNA msujudia mkoloni
 
African race ndio race pekee inayochukiana yenyewe kwa wenyewe.
Mimi ni mtanzania ila watanzania wezangu hivyo si sawa. Binadamu hatakiwi kuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom