Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Mimi sioni ajabu sisi kuitwa Nyani make katika mitaala yetu hadi leo tumefundishwa binadam wa kwanza alikuwa nyani.Sasa tukiitwa nyani tunarusha ngumi. Sisi nyani tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhindi nae si nyani mchafu tuKama kawa, wakenya wakiitwa nyani ndugu zao wa kusini (watanzania) wanafaa wajikumbushe kwamba wao ni nyani vilaza.
Kwa kweli sie wahindi tunawashangaa sana nyie miafrika. Mbona msiishi kwa upendo?
Mtoto wake alishaomba msamaha,Si ni juzi tu audio ilivuja ya aliyekuwa Rais wa Marekani Ronald Reagan akiwaita delegates wa Tz nyani? Hilo lilikuwa tusi kwa watu wote weusi! Hili sio swala la ligi Mkuu. Ubaguzi wa rangi unafaa kukemewa.
Sasa mbona ni nyie ndo mnafunguliwa marinda 😂😂😂 si ni juzi ndugu yenu kaolewa kule SA 😂😂😂,Nitasimama kuhesabiwa Kwa kuitetea ngozi nyeusi we Nenda Tu ufunguliwe marinda na wazungu kama ilivyo ada kwako.unajichukia Hadi unadhihaki ngozi yako kisa mzungu?.
Mtoto wake kuomba msamaha halikuzuia lolote! The damage was already done. Babu zako delegates waliitwa Nyani kumaanisha wewe ni kizazi cha hao nyani pia!Mtoto wake alishaomba msamaha,
Kinachoahangaza ni nyie kuwashobokea sana hao wazungu alafu mwisho wa siku bado wanawatukana nyie alafu mnataka kuingiza EA nzima,
Kwanini kwenye mambo mabaya ndo mtake kuingiza EA nzima 😂😂😂
Watanzania tuwe wakweli na wawazi. Tusidindishe online vs Wakenya as if kama ingetokea kwetu tungemfanya huyo Mzungu lolote lile. Mara ngapi mambo kama haya wanafanyiwa Watanzania wenzetu ndani ya Tanzania na Watanzania wengine wanaanza kumsapoti Mzungu/Mchina/Mwarabu/Mhindi na kumcheka Mtanzania mwenzetu? Kuna stori kama kibao kama hizi zinatokea Tanzania mfano katika hotel, migahawa, mabasi, majumbani, sokoni. Watanzania tuache unafiki.
We pimbi sasa tuambie ...tatizo ni kuitwa nyani au kuwa nyaniMtoto wake kuomba msamaha halikuzuia lolote! The damage was already done. Babu zako delegates waliitwa Nyani kumaanisha wewe ni kizazi cha hao nyani pia!
Hili si la kuleta ushabiki kwani inaonyesha kwao mtu mweusi popote pale ni "nyani"
Nyani mwenzangu povu la nini? There's enough 🍌 for the the two of us!We pimbi sasa tuambie ...tatizo ni kuitwa nyani au kuwa nyani
Nyinyi ni MANYANI MAPUMBAVU
90% ya wavulana wa kitanzania wanafunguliwa marinda ,Kwanza pale kinondoni ndio makao makuu.Sasa mbona ni nyie ndo mnafunguliwa marinda [emoji23][emoji23][emoji23] si ni juzi ndugu yenu kaolewa kule SA [emoji23][emoji23][emoji23],
Hilo ni lenu bebeni wenyewe kabisa halituhusu.
Huwa mnafumuliwa nao ndio maana unajua90% ya wavulana wa kitanzania wanafunguliwa marinda ,Kwanza pale kinondoni ndio makao makuu.
Kijana wa miaka 35 Kenya anaonekana kama mzee wa miaka60 maisha Kwa slum kibera ni ngumu sanaHeri ndizi kuliko mohogo. Niko sure umekondeana kama ngamia wa Sahara desert. Mtu aliye na miaka hamsini na bado anaugua kwashiakor!
Hivi tatizo ni ngozi nyeusi tu au mzaliwa wa africaWAKENYA SIO NYANI TU NI NYANI WABISHI
Sasa nyinyi hadi masikini wa kichina mnao walipa mishahara wanawaiteni manyani tena manyani mapumbavuuSi ni juzi tu audio ilivuja ya aliyekuwa Rais wa Marekani Ronald Reagan akiwaita delegates wa Tz nyani? Hilo lilikuwa tusi kwa watu wote weusi! Hili sio swala la ligi Mkuu. Ubaguzi wa rangi unafaa kukemewa.
Tazama sababu ya sisi kuitwa monkey ni kumkataa mkoloni bali nyinyi mnaitwa monkey huku MNA msujudia mkoloniRonald Reagan described a Tanzanian delegation as "monkeys" in a call with then-President Richard Nixon
Kule Youtube kuna zile video za anecdotes za Reagan akiwapiga madongo Warusi na siasa zao za kijamaa. Reagan ni mmoja wa wanasiasa waliofanya Afrika ya Kusini ikachelewa kupata uhuru, alikuwa rafiki wa karibu wa kaburu Pik Botha.www.jamiiforums.com