Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Ila Kwa uhalisia anaemuona mkenya monkey anakuona pia kama monkey,eti mtu akizungumza Kiswahili tunamuona hajasoma?Acha shombo babu! Kiswahili ni sehemu ya maisha yetu.Tofauti yangu na Mkenya ni kuwa mkeny ni Typical kibaraka wa mzungu, Mkenya huigiza maisha ya Uzungu Kenya ukizungumza Kiswahili kama wewe unaonekana hujasoma, Kenya ni nchi ya watu wanaolamba matako ya Wazungu. Hata katiba mpya ya Kenya imekuwa imported from US.
Sasa ikitokea mnatukanwa hivi na hao Mabwana zenu ndio tunashangaa inakuwaje,
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app