Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Namuonea huruma huyo mzungu maana hawakawii kusema ,muitaliano aokotwa msitu wa pande
 
Ndio maana tunasema, bila kuiondoa CCM madarakani hakuna chochote kipya!

Nchi itaendelea kupiga marktime tu! CCM ni ile ile....
 
Huyu mtaliano atazuiliwa TISS kuongea na wandishi wa habari mtaniambia
 
PICHA NDIO IMEANZA YULE MUITALIANO ALIEHUSISHWA NA KUTOA RUSHWA APATE TENDA KWA MMOJA WA MAWAZIRI KUONGEA NA PRESS KESHO

WAPI SANGAPII

STY TUNED
 
Hii ishu ya kufanya press conference tena inayogusa kiongozi mkubwa wa serikali ilipaswa iwe ya kushitukiza tu na sio kuitangaza hivi!

Tukumbuke kuwa kumtuhumu mteule wa Rais si tu unamgusa yeye kama yeye anayetuhumiwa bali mfumo mzima wa uteuzi wa serikali akiwemo Rais mwenyewe!.

Sina hakika kama hiyo press conference ya muitaliano huyo itafanyika vinginevyo kwa masaa haya machache yaliyosalia awe amejificha kwenye ubalozi wao.

Otherwise anything can happen kwa sbb hii ishu haina maslahi yoyote kwa serikali zaidi ya kuichafua. Ngoja tuone.

Pia inawezekana, kutangaza hivi ni kutia presha ya kumtaka huyo aliyemtapeli (JM) wakutane wayamalize kiaina ikwemo jamaa kurudishiwa pesa zake!
 
MUITALIANO WETU ATAONGEA NA PRESS KESHO

MUDA SAA NANE MCHANA

MAHALI HYTTE HOTEL
 
Pamoja NA mengine ataonyesha barua pepe audio NA.msg kuonyesha kama yeye in tapeli


USALAMA TUNAOMBA HILI MLISIMAMIE NA TUNAITAJI ULINZI WA MH HUYU ANAEENDA TUMBUA MAJIP KIMYA KIMYA
 
Hii kitu japo ni kweli JM alikuwa anakula ela ya watu, lakini kuna nguvu behind ya huyu Muitaliano ndo maana ana guts za kusema anayosema na kufanya press conference
 
Hahah didy ndio unaamka nini ???au Ciroc zimezidi
 
Duh ....hii ngoma inakwenda kuunguza picha si la January tu ...ikitokea huyo Muitaliano akanyimwa kuongea au akatishwa (itajulikana tu) itaweka mwanzo mbovu kwa JPM ....Hili sakata ni vihuzi vya mwanzo mwanzo kwa JPM ...
JPM alichemka sana kuunda serikali ya kishkaji haina tofauti na ya JK,
Nyani ni wale wale kwenye msitu ule ule kubebana kuko pale pale
 
It looks like JANUARY IS 100 STEPS AHEAD OF BAVICHA, you guys will be dissappointed comes the 'end' of this saga!
What you are expecting for WILL NEVER BE RELIZED!
This MUITALIANO is DEFINATELY going to SHIELD Makamba.
Common sense: DO YOU REALLY BELIEVE THAT HE'S GOING TO "PLEA GUILT" right in front of the media??
You are very wrong thinking everything revealing ccm stupidity is started by BAVICHA. Is mange Kimambi a BAVICHA member or a CCM member who even wanted to be a member of parliament through CCM? These are circumstantial thinking disorders!! Keep having illusions and hallucinations
 
Ila ktk paragraph yako ya kwanza, huyo Muitaliano sio NAIVE kivile kuwa hajui kuwa IGNORANCE OF LAW IS NO EXCUSE.

Mimi sio mjuzi wa sheria ila malipo ya udalali ni legal hivyo huyo mzungu anaweza kusema kwamba $1M haikuwa rushwa bali ni malipo halali ya udalali kwa Makamba. Akisema hivyo Makamba atakuwa kikaangoni maana ki maadili hakutakiwa awe dalali!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom