Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
tanzania eeeeee nchi yangu eeeeeee mimi nafurah tu ili nione jpu sahihi ni lipi
 
Sasa February kwani hana washauri si angejiuzuru faster kuliko Aibu ya kesho,, maana sas Mboga inamwagwa dona anabaki nalo yeye ,,

Ccm sio wajinga wa kusubiri wakaaibishwe kesho mbele ya kadamnasi tena na Mtaliano alienogewa na penzi la Mtanzania. Nimesoma mahala fulani tena jioni hii kuwa Mtaliano kishamsafisha Makamba na kuomba msamaha kwa familia ya mzee Yusuph Makamba kwa kadhia hiyo. Amedai mgogoro ni kati yake na mpenzi wake Mwavita ila anamlaumu January kwa kutowasikiliza na pengine kusaidia usuluhishi. Hivyo naamini sinema imeishia hapo na hana uthubutu wa kuinua tena kichwa.
 
Usalama wa Taifa au TISS ni zaidi kuliko tunavyofikiria.Wanajuwa tusivyovijuwa na uzuri wao hawafanyi kazi na MEDIA kama mawaziri wa awamu hii.Waandishi wa habari sasa hivi moto wa mbali....wanatoboa ile mbaya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom