GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Hapana mkuu. Siyo kila Mwafrika ana hizo sifa ulizotaja. Naamini wewe huna hizo sifa "mbaya". Isitoshe, Mzungu naye hajakamilika. Naamini kuna mazuri anyoweza kujifunza kutoka kwa Mwafrika.Vitu tulivyonavyo waafrika mzungu hawezi kuchukua…Ndio maana ukionekana genious sana mzungu anakuchukua maana anaona kabisa hukustahili kuwa afrika yaani upo kwa bahati mbaya tu.
Uchawi,unafiki,umbea,uvivu na mengine mengi alafu bado unataka mzungu achukue nini hapa.
Ona sasa CCM mlichokileta kwa miaka yote ya uhuru, mmrtuondolea heshima.Mwafrika ni mtu wa hovyo sana na asiyeaminika
Hapana mkuu. Siyo kila Mwafrika ana hizo sifa ulizotaja. Naamini wewe huna hizo sifa "mbaya". Isitoshe, Mzungu naye hajakamilika. Naamini kuna mazuri anyoweza kujifunza kutoka kwa Mwafrika.
Mwaafrika apunguze chuki na husdaMwafrika ni mtu wa hovyo sana na asiyeaminika
Wazungu wapunguze ushogaWote ni binadamu, kwa hiyo wote wana mazuri yao na madhaifu yao.
Unafikiri:
1. Kipi kizuri Mzungu alicho ambacho Mwafrika anapaswa kukiiga?
2. Kipi kizuri Mwafrika alicho nacho ambacho Mzungu anapaswa kukiiga?
Karibuni!
Aisee! Wewe ni bingwa wa majibu mafupi 🤣Ngoja tuone...