Mzungu na mwafrika wote tuna exchange hakuna mshamba kama sio wote ni washamba

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Mzungu ananunua vinyago na tamaduni kadhaa za asili kutoka Afrika kwa mwafrika.

Mwafrika ananunua teknolojia ya mzungu kisha anatumia wala hawezi kununua tamaduni zake kwa kuwa anazo.

Kila mtu anataka kipya

Angalia waafrika wangapi wana vinyago ama michoro ya asili majumbani mwao.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sijui nimeandika nini.
 
Sijui nimeandika nini.

Umeandika "Mzungu ananunua vinyago na tamaduni kadhaa za asili kutoka Afrika kwa mwafrika.

Mwafrika ananunua teknolojia ya mzungu kisha anatumia wala hawezi kununua tamaduni zake kwa kuwa anazo.

Kila mtu anataka kipya

Angalia waafrika wangapi wana vinyago ama michoro ya asili majumbani mwao."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…