Mzungu: Ukitaka kumskasirisha Mtanzania, mwambie kajifunza Kiswahili kwa Mkenya!

Mzungu: Ukitaka kumskasirisha Mtanzania, mwambie kajifunza Kiswahili kwa Mkenya!

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Ni kweli Watanzania hukasirika wakiambiwa Wakenya wanakijua Kiswahili kizuri kuwazidi?

Kwani nyie wa Tz mnajuwanga nini.?...
Hii lugha tuliwafunza kitambo!!

🤣🤣🫵
 
Wakenya wanajua kusuuza komwe pekee sio kiswahili
 
Back
Top Bottom