Mzungu wa Harmonize amtolea povu Wolper

Mzungu gani ana maneno kama ya MANGE KIMAMBI?Nina mashaka na uzungu wa huyu mzungu.

Tuwe makini popote tulipo ulimwenguni Kiswahili lugha ya kimataifa unaweza kushikwa bega na kuulizwa unasema nini!
The day a white woman told off Swahili speakers
Source: bmjmureithi
 
Wajinga tu na promo zao za kidwanzi humu wabongo bhn
 
Harmonize Anafanana Na Remmy Ongala!
ulitaka kusemaje?binadamu mna dharau sana aise,huyo unaemdharau maisha yake unayatamani sana sema ndo ivo tu wewe mungu kakupa ujustine bieber kakujima maisha,mwenzko kapewa uremmy ongala lkn ana maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…