Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Anatia huruma masikini sijui kama anaelewa watz tuna akili kwa ajili ya taifa letu tuMzungu nae Si yumo humu jf
Ajipange tu kisaikolojiaMi huyu mzungu namuonea huruma kwakweli, sijui kama ataweza kuhimili akili za kibongo masikini....namuonea huruma
Wa bongo ni wa shamba na wabaguzi kujificha nyuma ya ushabiki wa mpira huyu mtu anekua harassed and booed bila sabab za msingi, ingekua kwingine shirika la mpira lingechukua hatua kwa hao mashabikiMdhunguuu wa MAKOLO [emoji23][emoji23][emoji23] baada ya ku trend mtandaoni leo kutokana na na mikimbio yake vs...kukosa goli la wazi ( clear chance).........
Ameifokea page moja ya michezo baada ya kupost picha yake ikiwa inaonesha goal alilokosa
Nb.....tumpumzishe huyu mdhungu[emoji16][emoji16][emoji16]
Au Basi ......mlete mdhunguuu
Kibaya Hadi page kubwa za mpira zina supportWa bongo ni wa shamba na wabaguzi kujificha nyuma ya ushabiki wa mpira huyu mtu anekua harassed and booed bila sabab za msingi, ingekua kwingine shirika la mpira lingechukua hatua kwa hao mashabiki
Naskia wameshamtaftia warembo ndo maana anaanguanguka hovyoAnatia huruma masikini sijui kama anaelewa watz tuna akili kwa ajili ya taifa letu tu
Watanzania inatakiwa akili kama za Morison kuishi nao. Huyu mzungu sijui kama atawezaMi huyu mzungu namuonea huruma kwakweli, sijui kama ataweza kuhimili akili za kibongo masikini....namuonea huruma