Mzungu wa simba achukia baada ya kudhihakiwa mtandao leo

Mzungu wa simba achukia baada ya kudhihakiwa mtandao leo

Waleteee waleteee letaaa mzunguu. Sasa hivi Simba mpk mtoto ambae hajazaliwa anaijua
Mkuu...wew si ndio ulikuwa unapiga Vita hiz mambo..[emoji23][emoji23]
 
Mdhunguuu wa MAKOLO [emoji23][emoji23][emoji23] baada ya ku trend mtandaoni leo kutokana na na mikimbio yake vs...kukosa goli la wazi ( clear chance).........

Ameifokea page moja ya michezo baada ya kupost picha yake ikiwa inaonesha goal alilokosa

Nb.....tumpumzishe huyu mdhungu[emoji16][emoji16][emoji16]
Au Basi ......mlete mdhunguuu
Wa bongo ni wa shamba na wabaguzi kujificha nyuma ya ushabiki wa mpira huyu mtu anekua harassed and booed bila sabab za msingi, ingekua kwingine shirika la mpira lingechukua hatua kwa hao mashabiki
 
Wa bongo ni wa shamba na wabaguzi kujificha nyuma ya ushabiki wa mpira huyu mtu anekua harassed and booed bila sabab za msingi, ingekua kwingine shirika la mpira lingechukua hatua kwa hao mashabiki
Kibaya Hadi page kubwa za mpira zina support
 
Hata mchambuzi juma ayo....amenawa
FB_IMG_16622660053328066.jpg
 
Back
Top Bottom