Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto anayewaniwa na club ya Azam Fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Facebook.com na Instagram zinamilikiwa na mtu mmojaDuh account za FB huwa siziamin japo Instagram jamaa tangu ateme mkataba hajawah post chochote tena
Facebook.com na Instagram zinamilikiwa na mtu mmojaDuh account za FB huwa siziamin japo Instagram jamaa tangu ateme mkataba hajawah post chochote tena
Nimependa kiingereza chake 😆😆View attachment 2458250Mchezaji maarufu Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic ametangza rasmi kutua nchini kukipiga.
Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto anayewaniwa na club ya Azam Fc
Serbia 🇷🇸 na Kingereza, si afadhali sisi?Nimependa kiingereza chake 😆😆
Amechongwa akachongeka, mchongoko wa mchongoHahaaahaa wa Mchongo huyu 🤣 🤣 🤣
Kabisa yaani ukanda ule hawataki hata kukisikia😆Serbia 🇷🇸 na Kingereza, si afadhali sisi?