Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Nashangaa mzungu wa Simba anakejeliwa na watu wanacheka na amebeba kejeli zote ,ila Mzungu pori wa Yanga akikejeliwa ni nongwa.
Huyo wa Yanga asikimbilie kuonewa huruma au kusingizia ukilema ,utani na kejeli ndo utani wenyewe atulie kama moja.
Ameshafungiwa akipiga kelele tunawabip TFF adhabu iongezwe , mi hata nikimwona Ndondo Cup au kashika mpira napiga simu polisi na TFF.