Mzungu wa Simba kukejeliwa poa ila wa Yanga nongwa.

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Nashangaa mzungu wa Simba anakejeliwa na watu wanacheka na amebeba kejeli zote ,ila Mzungu pori wa Yanga akikejeliwa ni nongwa.

Huyo wa Yanga asikimbilie kuonewa huruma au kusingizia ukilema ,utani na kejeli ndo utani wenyewe atulie kama moja.

Ameshafungiwa akipiga kelele tunawabip TFF adhabu iongezwe , mi hata nikimwona Ndondo Cup au kashika mpira napiga simu polisi na TFF.
 
Mdhungu pori gani huyo wa Yanga?
Sku hizi SSC tunadharaulika Sana kwa sababu ya Mzungu ambae anafkriwa kutokuwa na impact yoyote
IMG_20220820_110043.jpg
 
Mtu wa kwanza ku mkejeli Mzungu ni msemaji wa Simba, anatakiwa afafanue Kwa umma wa Watanzania kwanini hakutumia jinalake halisi kumtambulisha na kumwita mzungu tena Kwa mbwembwe nyingi.
Kwaiyo Wana Simba kabla ya kutupa lawama Kwa mtu yoyote inatakiwa kuanza na msemaji wenu.
 
Nashangaa mzungu wa Simba anakejeliwa na watu wanacheka na amebeba kejeli zote ,ila Mzungu pori wa Yanga akikejeliwa ni nongwa.

Huyo wa Yanga asikimbilie kuonewa huruma au kusingizia ukilema ,utani na kejeli ndo utani wenyewe atulie kama moja.

Ameshafungiwa akipiga kelele tunawabip TFF adhabu iongezwe , mi hata nikimwona Ndondo Cup au kashika mpira napiga simu polisi na TFF.
Weka picha ya huyo mzungu wa yanga
 
Huyu mupe yure muruke.. Kunya anye kuku..akinya kuku kaharisha
 
Yaani jina mmetoa nyie kupitia msemaji wenu afu lawama wapewe Yanga,ivi akili yako ina afya kweli?[emoji1745]
 
Back
Top Bottom