Alichofanya ni sahihi, kwasababu huwezi kuja na solution bila Ku 'state problem' ndio maana kwenye scientific procedures, stage ya kwanza ni Identification of problem. Ila alitakiwa ajiongeze kidogo ya way forward (solution).badala ya kuleta solution unalalamika, wabongo bwana