Mzunguko Mbaya wa fedha nchini ni chanzo cha wengi kufunga biashara zao

Mzunguko Mbaya wa fedha nchini ni chanzo cha wengi kufunga biashara zao

hayaland

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
712
Reaction score
399
Naamini mzunguko mbaya wa fedha kwa wananchi walio wengi nchini ni moja ya sababu kubwa ya wengi kufunga biashara na wengine kukata tamaa na biashara zao.

Kama mzunguko wa fedha ungekuwa mzuri naamini hata
 
Usijali mambo yatakuwa vizuri, rais wetu 'kipenzi' anaendelea kuweka mambo sawa na wafanya biashara wote!
 
Mzunguko wa pesa ni mbaya ufipa tu baada ya dawa za kulevya kupigwa marufuku
 
Ficha ujinga wako nyenye mlokuwa mnasema wapiga dili afu mwisho wa siku mnakuja kukiri wenyewe mnaua private sector
 
Zote hizi Kelele za Mkuu wala hazina Mashiko. Anakomaa na Matokeo badala ya Chanzo! Mzunguko wa Fedha ndiyo Changamoto ya Biashara Kudorora huo ndiyo Ukweli!
 
Kwa sasa biashara nyingi haziendi,mtu alizoea kuuza na si kulinda biashara,mtu anauza hadi elfu ishirini huku mtaji wake ni zaidi ya mil 5.Mapato nao wanataka chao.watu wanakata tamaa na biashara
 
badala ya kuleta solution unalalamika, wabongo bwana
Alichofanya ni sahihi, kwasababu huwezi kuja na solution bila Ku 'state problem' ndio maana kwenye scientific procedures, stage ya kwanza ni Identification of problem. Ila alitakiwa ajiongeze kidogo ya way forward (solution).
Nakubaliana na wewe, nakubaliana na yeye.
 
Back
Top Bottom