Mzunguko wa dollar feki kenya umezidi

Juu nimesema ukweli?Tanzania is Gangster StateView attachment 1088697View attachment 1088698
Muacheni avune alichopanda, maana usikute alitapeli watu na wamelipiza kisasi, mara nyingi mtu akiona kayaharibu huko anaanza kuikashifu serikali ili wakimtungua wabaya wake basi serikali isingiziwe. Uzuri mabeberu wapo macho sana pia kuona potential targets ili kuaminisha umma kuwa kuna hivyo vitu
 
Kuna hela zinapigwa hapa
Utasikia kuna hela nyingi zimechomwa moto kumbe
 
Hawa ndio nani? Takataka! Tanzania is resillient hata propaganda za lissu na risasi zake hazi jafanya Reli, barabara au umeme usisambazwe

Ahaaa haaa haaa
Ametulia hata hajulikani aliko.
Kumtukana Nyerere ni jambo zito SANA. Huwezi achwa salama. Lazima uandamwe na zimwi lake. Yaani LISU anathubutu kumtukana baba wa taifa hili!!
 
Kenya is a failed state.
1. Fake US Dollars.
2. EAC HQ of money laundering. It is the home of Somalis Blanchiment D'argent
3. Wepons smuggling.
4. Terrors hot bed.
5. Home for grand corruptions.
 
Hapa leo umetoa points moja kubwa Safi
 
Yaan Kenya wizi nyie utapeli nyie rushwa nyie hadi dollar fake nyinyi wenyewe kaaa maanko mmeshindikana
 
Wakuu,
Mjitahadhari sana mnapo pokea malipo ya bidhaa ama mazao yenu kutoka kenya mkutumia dollar, euro ama GBP.
Mkilala mtaingizwa vichakani..
JPM aangalie sana zile dollar za mauzo ya korosho hatakama ni bank guarantee (Eletronic transfer)

Tunakushukulu mkuu
 
Yaan Kenya wizi nyie utapeli nyie rushwa nyie hadi dollar fake nyinyi wenyewe kaaa maanko mmeshindikana

Ahaa haaa ha ha
Kenya is a failed state.
1. Fake US Dollars.
2. EAC HQ of money laundering. It is the home of Somalis Blanchiment D'argent
3. Wepons smuggling.
4. Terrors hot bed.
5. Home for grand corruptions.
 
Ikifikia hatua ya kwamba hata vyombo vya ulinzi na usalama, na hata mahakama vimepoteza kuaminika kiasi kikubwa kama ilivyo huko Kenya, nchi inaitwa "Failed state".
dude, Mlipoteza asilimia 60 (ndovu zaidi ya 80,000) ya ndovu wenu ndani ya miaka kumi, unafikiri ni kina nani ndo walihusika ili hii biashara ya poaching ifayike kwa kiwango hichi???? fROM 109,000 ELEPHANTS TO 43,000 ELEPHANTS IN 5 YEARS!!!! https://www.huffpost.com/entry/tanzania-elephants-60-percent_n_7494376

Hivi Tanzania mmefanyikiwa kukinga mihadarati ya Cocain,Heroine, Crack.... etc kuingia na kusambazwa nchini?????? Unafikiri hi biashara ya mmihadarati inaweza kufanyika bila baadhi wa ma officer wakubwa wa usalama kuhusika???? DON'T BE NAIVE MY FRIEN.

Hizi pesa zilizoshikwa usishangae ilikua ni expansion capital ya kuendeleza biashara ya kuhonga polisi East and Central Africa ili biashara ya miharadarati iendelee. Kati ya walioshikwa na hizo pesa kuna wa Rwanda, Uganda, DRC


 
Mama ngina kenyatta is responsible for 90% of all poched Rinho and elephants in kenya..There is nothing Tz can learn from kenya interms of Wildlife preservation, absolutley nothing
 
Mama ngina kenyatta is responsible for 90% of all poched Rinho and elephants in kenya..There is nothing Tz can learn from kenya interms of Wildlife preservation, absolutley nothing
Kenya has never lost such un unprecedented number of elephants in such a short period of time ever!!!!!! And talking about Kenya's case does not absolve what happened in Tz and the fact that its government officials and high ranking well connected law enforcement officers who facilitate this illegal trade after taking their cut.
 
Ahaaa haaa haaa
Ametulia hata hajulikani aliko.
Kumtukana Nyerere ni jambo zito SANA. Huwezi achwa salama. Lazima uandamwe na zimwi lake. Yaani LISU anathubutu kumtukana baba wa taifa hili!!
Hivi alishawahahii kumtukana mpk muasisi wa taifa letu
 
Hivi alishawahahii kumtukana mpk muasisi wa taifa letu
Si kumtukana tunaweza sema alimdhihaki kwa kudharau mchango aliotoa, sawa na mwanao akwambie baba sioni uspecial wowote ulio nao kwangu. Wewe ni kama wanaume wengine tu kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…