Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Muacheni avune alichopanda, maana usikute alitapeli watu na wamelipiza kisasi, mara nyingi mtu akiona kayaharibu huko anaanza kuikashifu serikali ili wakimtungua wabaya wake basi serikali isingiziwe. Uzuri mabeberu wapo macho sana pia kuona potential targets ili kuaminisha umma kuwa kuna hivyo vituJuu nimesema ukweli?Tanzania is Gangster StateView attachment 1088697View attachment 1088698