Mzunguko wa dollar feki kenya umezidi

Mzunguko wa dollar feki kenya umezidi

Ambieni JPM arudishe huyu.
IMG_20190504_215456.jpeg
 
Magufuli is abducting and killing his critics. Where isMdude? He killed Azori,now Mbunda can't be found.
 
Wakuu,
Mjitahadhari sana mnapo pokea malipo ya bidhaa ama mazao yenu kutoka kenya mkutumia dollar, euro ama GBP.
Mkilala mtaingizwa vichakani..
JPM aangalie sana zile dollar za mauzo ya korosho hatakama ni bank guarantee (Eletronic transfer)

Mbona kwetu hilo tatizo halipo, hukumbuki juzi kati hapa maduka yote ya forex yalipigwa pin, na baadaye nairobi na kampala wakasemwa wanatakatisha pesa aina za dollar
 
Hizi dollar ni fake kweli ama tunaambiwa hivyo ili tusiulize maswali mengi e.g zile $20million zilizopatikana juzi zinachungwa na nani na kuna uhakika ghani bado ziko kwa evedence room ya polisi? Inaezakua huko Kwa evidence room ndo zinageuzwa na fake dollar alafu hizo real dollar zinaenda kwengine , I suspect hii NI drug money na kuna watu mashuhuri serekalini wako Kwa turf war, wanaonyeshana who is boss, na Sisi kama raia wa kawaida tunachezewa akili .....
 
Tanzania has turned to be another dictator country after Uganda.

For every one person who missed in Tanzania, there are 100 Kenyans
1)Tom Mboya
2)Pio Gama Pinto
3)Robert Auko
4)Chris Msando
5)Jacob Jumwa
6) Abound Rogo
7)Makaburi
8)The list is endless.......
 
Endelea kuongeza mwenye waliuawa 1967 na ma terrorists that deserved death. Nyinyi mnauwa in 2019

For every one person who missed in Tanzania, there are 100 Kenyans
1)Tom Mboya
2)Pio Gama Pinto
3)Robert Auko
4)Chris Msando
5)Jacob Jumwa
6) Abound Rogo
7)Makaburi
8)The list is endless.......
 
Hizi dollar ni fake kweli ama tunaambiwa hivyo ili tusiulize maswali mengi e.g zile $20million zilizopatikana juzi zinachungwa na nani na kuna uhakika ghani bado ziko kwa evedence room ya polisi? Inaezakua huko Kwa evidence room ndo zinageuzwa na fake dollar alafu hizo real dollar zinaenda kwengine , I suspect hii NI drug money na kuna watu mashuhuri serekalini wako Kwa turf war, wanaonyeshana who is boss, na Sisi kama raia wa kawaida tunachezewa akili .....
Ikifikia hatua ya kwamba hata vyombo vya ulinzi na usalama, na hata mahakama vimepoteza kuaminika kiasi kikubwa kama ilivyo huko Kenya, nchi inaitwa "Failed state".
 
Back
Top Bottom