Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
- Thread starter
-
- #21
Kwanza nishukuru kwa majibu murua..Twende mbele..Kwanza mkuu mass ya dunia kupitia centrifugal force ndiyo vinafanya dunia kuzunguka kwa speed ambapo vitu vyote vinavutwa katikati? Right?Aisee Mkuu maswali yako ni poa sana kwa kweli Mimi nilikuwa hobbyist mkubwa kabisa wa Astronomy na cosmologist nitakujibu kwa uelewa wangu and i stand to be corrected, Mimi nijuavyo Dunia Iko katika speed fulani ila vilivyopo ndani havihisi hiyo speed kwa sababu tu Havioni vitu vya nje ya Kufananisha navyo Na pia dunia iko katika constant velocity (Uniform velocity) Speed huonekana au kutambulika na Observers ikiwa tu kuna stationary object au kitu kingine ambacho hakiko ktk exactly same speed Mfano wewe upo katika gari ambayo ina tembea Kwa speed ya 120Km/H na mwenzio yupo katika gari ambayo ipo sawa speed na wewe regardless of stationary thing kama miti tu assume haipo basi ww toka dirishani umtaze mwenzio katika gari ingine ambayo uko Nayo same exactly speed basi mkitazamana japo upo katika mwendo mkali bado mtajiona stationary tu yani mtaona kama mmesima the same applied dunia tunaiona iko stationary na hatu feel hii speed of rotation kwa vile tu Tuna move nayo na hakuna vitu vya kujifanisha navyo amvayo viko stationary , Kaa kwenye gari funga vioo usiangalie nje gari itembee katika Speed constant ni wazi tu utahisi umesimama, mabadiliko ya speed na Kuona vitu vilivosimama hukufanya kugundua uko katika motion, secondary hakuna Aeroplane zinazotoka out of space zipo Rocket tu ambazo huenda angaa za mbali na zenyewe hutegemea Orbit zitakapo kuwa kuna kitu kinaitwa Parking orbit ukifika apo utaona dunia haitembeiii, Nikupe homework kama Dunia Inazunguka kwanini madishi ya Tv tunayaelekezea sehemu moja ili kunasa sattelite fulani kwanini hatuyazungushi kila muda?
Sasa kama ni ndiyo je mass iliyopo kwenye atmosphere (maana huko kuna gases na tinny materials) ni sawa na iliyopo kwenye body la dunia hii hii? Kama sio kwanini speed isitofautiane. Na ni kitu gani kinafanya vitu viwili vikubwa vyenye uzito usioendana kuzunguka pamoja kwa speed ile ile?
Troposphere ni kweli inazunguka speed ile ile na Exosphere iliyopo karibu na jua. Na wanasema Exosphere is the layer where all molecules and atoms escape into the space. Escape escape wakati dunia all things are pulled into the center. Bado nina doubt na atmosphere kuzunguka pamoja na hili limviringo letu mkuu. Hivyo hivyo kwa layers zingine naomba ufafanuzi mkuu
Stratosphere
Mesosphere
Thermosphere Exosphere????????????