Mzunguko wa dunia katika mhimili wake

Mzunguko wa dunia katika mhimili wake

Aisee Mkuu maswali yako ni poa sana kwa kweli Mimi nilikuwa hobbyist mkubwa kabisa wa Astronomy na cosmologist nitakujibu kwa uelewa wangu and i stand to be corrected, Mimi nijuavyo Dunia Iko katika speed fulani ila vilivyopo ndani havihisi hiyo speed kwa sababu tu Havioni vitu vya nje ya Kufananisha navyo Na pia dunia iko katika constant velocity (Uniform velocity) Speed huonekana au kutambulika na Observers ikiwa tu kuna stationary object au kitu kingine ambacho hakiko ktk exactly same speed Mfano wewe upo katika gari ambayo ina tembea Kwa speed ya 120Km/H na mwenzio yupo katika gari ambayo ipo sawa speed na wewe regardless of stationary thing kama miti tu assume haipo basi ww toka dirishani umtaze mwenzio katika gari ingine ambayo uko Nayo same exactly speed basi mkitazamana japo upo katika mwendo mkali bado mtajiona stationary tu yani mtaona kama mmesima the same applied dunia tunaiona iko stationary na hatu feel hii speed of rotation kwa vile tu Tuna move nayo na hakuna vitu vya kujifanisha navyo amvayo viko stationary , Kaa kwenye gari funga vioo usiangalie nje gari itembee katika Speed constant ni wazi tu utahisi umesimama, mabadiliko ya speed na Kuona vitu vilivosimama hukufanya kugundua uko katika motion, secondary hakuna Aeroplane zinazotoka out of space zipo Rocket tu ambazo huenda angaa za mbali na zenyewe hutegemea Orbit zitakapo kuwa kuna kitu kinaitwa Parking orbit ukifika apo utaona dunia haitembeiii, Nikupe homework kama Dunia Inazunguka kwanini madishi ya Tv tunayaelekezea sehemu moja ili kunasa sattelite fulani kwanini hatuyazungushi kila muda?
Kwanza nishukuru kwa majibu murua..Twende mbele..Kwanza mkuu mass ya dunia kupitia centrifugal force ndiyo vinafanya dunia kuzunguka kwa speed ambapo vitu vyote vinavutwa katikati? Right?

Sasa kama ni ndiyo je mass iliyopo kwenye atmosphere (maana huko kuna gases na tinny materials) ni sawa na iliyopo kwenye body la dunia hii hii? Kama sio kwanini speed isitofautiane. Na ni kitu gani kinafanya vitu viwili vikubwa vyenye uzito usioendana kuzunguka pamoja kwa speed ile ile?

Troposphere ni kweli inazunguka speed ile ile na Exosphere iliyopo karibu na jua. Na wanasema Exosphere is the layer where all molecules and atoms escape into the space. Escape escape wakati dunia all things are pulled into the center. Bado nina doubt na atmosphere kuzunguka pamoja na hili limviringo letu mkuu. Hivyo hivyo kwa layers zingine naomba ufafanuzi mkuu
Stratosphere
Mesosphere
Thermosphere Exosphere????????????
 
Wewe dogo kiazi sana kumbe...

( hapa nimebreserve dpace ) sasa hivi mwanangu analia nampembeleza..
Ila kesho nitakuja kumwaga nondo hapa..
Umenikumbusha mbali sana dogo...

Nilikuwa mbaya sana wa physical geograpy... Rock and its formation. Climatology usiniguse.
Nakumbuka A level nilipiga banda na geography.. (EGM)

Siku moja kabla ya pepa.. Nilikuwa nasoma map enlargement* washkaji wakawa wananicheka kwa sababu hatukufundishwa class, na niliamua tu kujisomea..

Nikapiga maswali yangu manne.( past papers).
Lahaula!! Kuingia kwenye paper nikalikuta swali kama lilivyo... Max mia saba nadhani...

Nikaanza nalo. Afu nikalala .. Msimamizi alivyosema bado nusu saa ndio nikamalizia ya kuchagua.
Sifa zimezidi...... mbona swali kwnyewe haliusiani na majibu yako
 
Mkuu sina exactly majibu ya maswali ila nisome tu poa juu apo utaelewa baadala ya kupaste swali hilo hilo ktk Kila anaejibu, siwezi kwenda in details ivo kwa vile mimi sio mwanajografia, Kitu kingine mzunguko wa Dunia na Vitu vingine angani huko husababishwa na Gravitational force, Hata sattelite hutegemea Gravity kurotate
 
Huhisi mzunguko huu kwa sababu kila kitu kwenye uso wa dunia, pamoja na atmosphere, vinazunguka kwa mwendo huu.

Chukulia mfano wa sisimizi aliye katika gari linaloenda kasi. Sisimizi anakuwa na "kinetic energy" ya gari, na kama gari linaenda 90 km/hr, madirisha yamefungwa, hata hewa iliyo katika gari inakwenda kwa speed hiyo na sisimizi anakuwa hajui kwamba gari lina mwendo

Sasa wewe na dunia unakuwa mdogo mara nyingi sana zaidi ya sisimizi alivyo ndogo kwa gari.

Ndege haijatoka duniani bado, ipo katika atmosphere inayozunguka na mwendo wa dunia. Mfano mzuri wa kuona dunia inavyozunguka ni kwenda kwenye satellite zilizotoka nje ya atmpsphere ya dunia na zinazoweza kuiona dunia kwa mbali. Mfano ni "International Space Station"

Swali lina assume ndege imetoka nje ya dunia. Tumeona hapo juu kwamba hewa ya dunia ni sehemu ya dunia na ndege haitoki nje ya dunia.

Again, ndege yenyewe ipo katika dunia na inasukumwa na speed ya dunia. Ni sawa na wewe ukae nyuma kwenye pickup, halafu pickup iwe inaenda kasi, halafu uchukue kitenesi na kukirusha juu kidogo halafu ujaribu kukidaka. Unaweza kufikiri kwamba kitenesi kitadondoka nje, lakini kama hakuna upepo na hujakirusha juu sana utaweza kukidaka kama mtu ambaye kasimama, kwa sababu wewe, gari na kitenesi wote mna kinetic energy.

Ndege haitoki nje ya dunia, hivyo ni sehemu ya vyote vinavyokuwa moved na dunia vilivyo ndani ya dunia.

Nimejibu kutoka kichwani tu sijaangalia reference book kama nimekosea tujadili.
Good explanation, hope ameelewa!
 
Mimi hofu yangu moja tu kuhusu dunia kujizungusha nimefanya utafiti mdogo tu wa anga ..juu ya nyota zetu ni kwamba nilijaribu kutengeneza umbo la nyota angani kwa muelekeo uleule na saa zilezile . lakini yapata miezi saba sasa umbo lile la nyota naliona vilevile na direction ileile na muda uleule
 
Poa mkuu...pale juu nimekuelewa ndiyo maana nikakuletea hilo ili uendelee ulipoishia.
Ahsante saana pia.
 
Wewe dogo kiazi sana kumbe...

( hapa nimebreserve dpace ) sasa hivi mwanangu analia nampembeleza..
Ila kesho nitakuja kumwaga nondo hapa..
Umenikumbusha mbali sana dogo...

Nilikuwa mbaya sana wa physical geograpy... Rock and its formation. Climatology usiniguse.
Nakumbuka A level nilipiga banda na geography.. (EGM)

Siku moja kabla ya pepa.. Nilikuwa nasoma map enlargement* washkaji wakawa wananicheka kwa sababu hatukufundishwa class, na niliamua tu kujisomea..

Nikapiga maswali yangu manne.( past papers).
Lahaula!! Kuingia kwenye paper nikalikuta swali kama lilivyo... Max mia saba nadhani...

Nikaanza nalo. Afu nikalala .. Msimamizi alivyosema bado nusu saa ndio nikamalizia ya kuchagua.
Bado unambembeleza dogo au umesharudi, umereserve space alafu badala ya kumuelewesha dogo umeongea yako ya kuweka banda.
 
Mimi hofu yangu moja tu kuhusu dunia kujizungusha nimefanya utafiti mdogo tu wa anga ..juu ya nyota zetu ni kwamba nilijaribu kutengeneza umbo la nyota angani kwa muelekeo uleule na saa zilezile . lakini yapata miezi saba sasa umbo lile la nyota naliona vilevile na direction ileile na muda uleule
Dunia hujizungusha kwa masaa 23.56 ambayo approx ni 24 hours. Hapo kuna usiku na mchana.

Na kama unavyojua nyota huonekana usiku. Hivyo nyota uliyotarget unaiona pale pale kwasababu mzunguko wa dunia haukubadilishii station upo pale pale na ile ile sehemu kila siku usiku.
 
Capture.PNG
Capture2.PNG
 
Izo ni live Feed from Nasa Jet Propulsion laboratory in real time, nimeshindwa kuzishika ka video bado najaribu, ISS, Suomi NPP na dunia vyote viko kwenye motion, ntaongeza nyama nikizinasa vizuri
 
Ok...
 
Huhisi mzunguko huu kwa sababu kila kitu kwenye uso wa dunia, pamoja na atmosphere, vinazunguka kwa mwendo huu.

Chukulia mfano wa sisimizi aliye katika gari linaloenda kasi. Sisimizi anakuwa na "kinetic energy" ya gari, na kama gari linaenda 90 km/hr, madirisha yamefungwa, hata hewa iliyo katika gari inakwenda kwa speed hiyo na sisimizi anakuwa hajui kwamba gari lina mwendo

Sasa wewe na dunia unakuwa mdogo mara nyingi sana zaidi ya sisimizi alivyo ndogo kwa gari.

Ndege haijatoka duniani bado, ipo katika atmosphere inayozunguka na mwendo wa dunia. Mfano mzuri wa kuona dunia inavyozunguka ni kwenda kwenye satellite zilizotoka nje ya atmpsphere ya dunia na zinazoweza kuiona dunia kwa mbali. Mfano ni "International Space Station"

Swali lina assume ndege imetoka nje ya dunia. Tumeona hapo juu kwamba hewa ya dunia ni sehemu ya dunia na ndege haitoki nje ya dunia.

Again, ndege yenyewe ipo katika dunia na inasukumwa na speed ya dunia. Ni sawa na wewe ukae nyuma kwenye pickup, halafu pickup iwe inaenda kasi, halafu uchukue kitenesi na kukirusha juu kidogo halafu ujaribu kukidaka. Unaweza kufikiri kwamba kitenesi kitadondoka nje, lakini kama hakuna upepo na hujakirusha juu sana utaweza kukidaka kama mtu ambaye kasimama, kwa sababu wewe, gari na kitenesi wote mna kinetic energy.

Ndege haitoki nje ya dunia, hivyo ni sehemu ya vyote vinavyokuwa moved na dunia vilivyo ndani ya dunia.

Nimejibu kutoka kichwani tu sijaangalia reference book kama nimekosea tujadili.
Umejuaje kwamba sisimizi hawezi kuhisi kwamba gari lina move?...Inawezekana asiweze kuhisi sababu hana utashi wa kugutambua kwamba anachokihisi ni movement...Lakini huwezi sema sisimizi hawezi kuhisi movement wakati huna uhakika zaid ya ku speculate..
 
Bora umekuja tuendeleze Mjadala tupate majibu yakinifu....nimeongeza maswali mkuu turirika
 
Huhisi mzunguko huu kwa sababu kila kitu kwenye uso wa dunia, pamoja na atmosphere, vinazunguka kwa mwendo huu.

Chukulia mfano wa sisimizi aliye katika gari linaloenda kasi. Sisimizi anakuwa na "kinetic energy" ya gari, na kama gari linaenda 90 km/hr, madirisha yamefungwa, hata hewa iliyo katika gari inakwenda kwa speed hiyo na sisimizi anakuwa hajui kwamba gari lina mwendo

Sasa wewe na dunia unakuwa mdogo mara nyingi sana zaidi ya sisimizi alivyo ndogo kwa gari.

Ndege haijatoka duniani bado, ipo katika atmosphere inayozunguka na mwendo wa dunia. Mfano mzuri wa kuona dunia inavyozunguka ni kwenda kwenye satellite zilizotoka nje ya atmpsphere ya dunia na zinazoweza kuiona dunia kwa mbali. Mfano ni "International Space Station"

Swali lina assume ndege imetoka nje ya dunia. Tumeona hapo juu kwamba hewa ya dunia ni sehemu ya dunia na ndege haitoki nje ya dunia.

Again, ndege yenyewe ipo katika dunia na inasukumwa na speed ya dunia. Ni sawa na wewe ukae nyuma kwenye pickup, halafu pickup iwe inaenda kasi, halafu uchukue kitenesi na kukirusha juu kidogo halafu ujaribu kukidaka. Unaweza kufikiri kwamba kitenesi kitadondoka nje, lakini kama hakuna upepo na hujakirusha juu sana utaweza kukidaka kama mtu ambaye kasimama, kwa sababu wewe, gari na kitenesi wote mna kinetic energy.

Ndege haitoki nje ya dunia, hivyo ni sehemu ya vyote vinavyokuwa moved na dunia vilivyo ndani ya dunia.

Nimejibu kutoka kichwani tu sijaangalia reference book kama nimekosea tujadili.
Asante Mkuu mwalimu wako wa Geography nd Physiscs Hakupiga kelele Bure Darasan.
 
Back
Top Bottom